Upinzani waongoza uchaguzi wa kanda Ufaransa
Kura zilizohesabiwa katika awamu ya kwanza ya uchaguzi wa kikanda nchini Ufaransa, zinaonyesha chama cha National Front party kinaongoza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Uchaguzi waanza Ufaransa
Kura ya maoni inaonyesha kuwa chama cha mrengo wa kulia National Front, kina umaarufu mkubwa, katika uchaguzi huo hasa katika maeneo ya kaskazini mashariki
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Mkondo wa pili wa uchaguzi Ufaransa
Wananchi wa Ufaransa wanapiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa serikali za majimbo
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Upinzani washinda uchaguzi Argentina
Mgombea wa chama cha upinzani cha Conservative Mauricio Macri amethibitishwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais Argentina.
11 years ago
BBCSwahili01 Feb
Upinzani watatiza uchaguzi Thailand
Waandamanaji nchini Thailand wanazuia usambazaji wa karatasi za kupigia kura siku moja tu kabla ya uchaguzi mkuu
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Upinzani washinda uchaguzi Venezuela
Tume ya uchaguzi nchini Venezuela imeuthibitisha muungano wa upinzani kushinda viti vingi vya ubunge nchini humo.
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Upinzani washinda uchaguzi Canada
Chama cha upinzani nchini Canada kimeshinda uchaguzi mkuu na kufikisha kikomo uongozi wa karibu mwongo mmoja wa chama cha Conservative.
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Upinzani wasusia uchaguzi Thailand
Waziri mkuu Yingluck Shinawatra, amesema uchaguzi uliofanyika ni ishara tosha kuwa watu wa Thailand wana imani na Demokrasia.
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Upinzani waelekea kushinda uchaguzi Croatia
Chama cha upinzani nchini Croatia kinaelekea kupata ushindi mwembamba kwenye uchaguzi wa ubunge uliofanyika Jumapili.
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Burundi upinzani kususia uchaguzi mkuu
Vyama vya upinzani nchini Burundi vimetangaza kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuanza wiki ijayo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania