Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upitishaji Bidhaa Njia Za Panya Changamoto ya ukaguzi wa chakula na dawa

 

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini TFDA imekiri kuwapo na changamoto ya ukaguzi wa bidhaa bandia na zilizokwisha muda wa matumizi kutokana na wafanyabishara wa aina hiyo kushusha bidhaa kwa kutumia njia za panya katika mipaka ya nchi na bandari zisizo rasmi.

Ni kauli ya mkurugenzi Mkuu wa TFDA mkoani Mtwara Hiiti Sillo katika mahojiano maalum na Star Tv.

Kwa kiasi kikubwa Baadhi ya wafanyabiashara za magendo wanatumia njia za Panya zilizopo mipakani mwa nchi kuingiza bidhaa feki na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya chakula na dawa yateketeza bidhaa mbovu kibao mkoani kigoma

 Shehena tani 1.5 ya mikate mibovu kutoka Kigoma Bakery  ikishushwa kwenye dampo la Businde Mkoani Kigoma tayari kwa kuteketezwa kutokana na kutofaa kwa matumizi ya binadam shehena hiyo imebambwa kufuatia msako wa kushitukiza wa (Mamlaka ya chakula na dawaTFDA) Zaidi ya tani moja na nusu za dawa binadaam kutoka duka la Mambo Leo la mjini kigoma zimeteketezwa na TFDA baada ya kuonekana hazifai kwa matumizi ya bindaadamBidhaa mbalimbali za madukani zikiwa tayari kwaaajili ya kuteketezwa baada...

 

9 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA KONTENA TANO ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA.

Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuangamizwa.Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja.Gari la Kijiko likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.

Baadh ya Maboksi ya dawa mbalimbali ambazo zimemaliza muda wake na hatari kwa matumizi ya Binaadamu, yakiangamizwa na katika viwanja vya kibeli nje ya mji wa Zanzibar Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiteremsha baadhi ya maboksi ya dawa mbalimbali, vipodozi, mchele, na tende zilizoharibika kwaajili ya kuviangamizwa.Mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakisimamia zoezi la uteketezaji wa dawa, vipodozi, mchele, na tende ambavyo vitu vyote hivyo...

 

11 years ago

Michuzi

Zoezi la ukaguzi wa Stempu kwenye bidhaa za Filamu latikisa Dar

Mjumbe wa Kamati ya Urasimishaji wa Kazi za wasanii wa Filamu na Muziki hapa nchini ambaye pia ni Afisa kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Bw. Wilhad Tairo akifafanua jambo kwa mfanyabiashara wa duka la Filamu wakati wa Operesheni ya kukagua Bidhaa zisizo kuwa na Stempu za TRA, Operesheni hiyo ya wiki mbili iliyoanza jana jijini Dar es Salaaminatekelezwa kwa uhirikiano wa TRA, Bodi ya Filamu, Basata na Cosota Mfanyabiashara wa duka CDs za Filamu lililopo maeneo ya Kariakoo jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) yafuta usajili wa dawa aina Tano za binadamu - Tanzania

Mamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) - TFDA Bwana H. Sillo
Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA imefuta usajili wa dawa za binadamu aina Tano na kuamuru ziondolewe sokoni na vituo vyote vya kutolea huduma za afya mchini kote mara moja kutokana na kubainika kuwa na viambata vinavyosababisha maradhi sugu ikiwemo kiharusi, na wakati mwingine kusababisha vifo.
Dawa zinazotajwa kufutiwa usajiri na kuzuia uingizwaji kuwa ni pamoja na dawa za kutibu maralia ya maji na vidonge aina ya...

 

10 years ago

Michuzi

NJIA ZA "PANYA" ZA SUKARI ZINAUA VIWANDA VYA NDANI - ZITTO KABWE

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC),Mh. Zitto Kabwe (wa tatu kulia) akizungumza wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika kwenye ofisi ndogo za Bunge,Jijini Dar es salaam leo.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC) na  Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajira na mazingira yasiyo na dawa za kulevya huua Panya Road

Nayakumbuka sana yale majadiliano tuliokuwa nayo miaka ile ya shule za msingi na sekondari katika juhudi za walimu kutufanya tujue Kiingereza. Moja ya mada ninayokumbuka ni ‘town life is better than village life’, yaani maisha ya mjini ni bora kuliko yale ya kijijini. Sikumbuki mimi nilikuwa napendelea upande upi kati ya maisha ya mjini au kijijini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je unawezaje kununua chakula na bidhaa madukani kwa usalama?

Wataalamu wanatoa ushauri kuhusu namna unavyoweza kuepuka maambukizi ya virusi vya corona unaponunua chakula.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani