Zoezi la ukaguzi wa Stempu kwenye bidhaa za Filamu latikisa Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-Sn-d_NPBFf0/U4YIRbmRlmI/AAAAAAAFl4k/JRO_gTESB8A/s72-c/TRA1a.jpg)
Mjumbe wa Kamati ya Urasimishaji wa Kazi za wasanii wa Filamu na Muziki hapa nchini ambaye pia ni Afisa kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Bw. Wilhad Tairo akifafanua jambo kwa mfanyabiashara wa duka la Filamu wakati wa Operesheni ya kukagua Bidhaa zisizo kuwa na Stempu za TRA, Operesheni hiyo ya wiki mbili iliyoanza jana jijini Dar es Salaaminatekelezwa kwa uhirikiano wa TRA, Bodi ya Filamu, Basata na Cosota
Mfanyabiashara wa duka CDs za Filamu lililopo maeneo ya Kariakoo jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wasambazaji wa Filamu za nje watakiwa kufuata sheria ya Ukaguzi wa Filamu!
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo juu ya Sheria ya Ukaguzi wa Filamu nchini kwa baadhi ya wawakilishi wa Wasambazaji wa Filamu za nje nchini wakati walipokutana ofisini kwake jana jijini Dar es Salaam.
Na: Frank Shija, WHVUM
[DAR ES SALAAM] Wasambazaji wa Filamu za nje wametakiwa kuwasilisha filamu wanazosambaza katika ofisi za Bodi ya Filamu kwa ajili ya ukaguzi mapema ifikapo tarehe 30 mezi huu.
Agizo hilo limetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi...
9 years ago
StarTV28 Nov
Upitishaji Bidhaa Njia Za Panya Changamoto ya ukaguzi wa chakula na dawa
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini TFDA imekiri kuwapo na changamoto ya ukaguzi wa bidhaa bandia na zilizokwisha muda wa matumizi kutokana na wafanyabishara wa aina hiyo kushusha bidhaa kwa kutumia njia za panya katika mipaka ya nchi na bandari zisizo rasmi.
Ni kauli ya mkurugenzi Mkuu wa TFDA mkoani Mtwara Hiiti Sillo katika mahojiano maalum na Star Tv.
Kwa kiasi kikubwa Baadhi ya wafanyabiashara za magendo wanatumia njia za Panya zilizopo mipakani mwa nchi kuingiza bidhaa feki na...
9 years ago
Bongo519 Nov
Filamu ya Going Bongo kuanza kuoneshwa kwenye majumba sinema Dar kuanzia Dec 11
![Going Bongo filamu (31)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Going-Bongo-filamu-31-300x194.jpg)
Filamu ya Going Bongo itaanza kuoneshwa kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam, ikiwemo Century Cinemax kuanzia December 11.
Filamu hiyo iliyoshinda tuzo ya Best East African Film (ZIFF) na Best International Film (BEFFTA UK) imechezwa na Ernest Napoleon.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/IMG-20151010-WA0007.jpg)
TAMASHA LA JOKATE LATIKISA SEKONDARI YA JANGWANI, DAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-md2zCduM6oM/XkZ02ihDIbI/AAAAAAALdVw/J5EWKIHZQqgIahsQOElcVmHMzJ1q17OXgCLcBGAsYHQ/s72-c/73eec93a-ee4f-41d2-b172-2d1f86e2fff1-1024x683.jpg)
MAOFISA AFYA WATAKIWA KUONGEZA UKAGUZI KWENYE MIPAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-md2zCduM6oM/XkZ02ihDIbI/AAAAAAALdVw/J5EWKIHZQqgIahsQOElcVmHMzJ1q17OXgCLcBGAsYHQ/s640/73eec93a-ee4f-41d2-b172-2d1f86e2fff1-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/1edb9940-ff94-463f-9f96-82af8300f7bd-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/7af2ffe5-ec26-4a4d-ae0e-c9a524ecf489-1024x683.jpg)
11 years ago
BBCSwahili29 Dec
Zoezi kunasua meli kwenye theluji
10 years ago
MichuziMrembo Miss Tanzania aongoza wakazi wa dar katika zoezi la uchangiaji damu jijini dar leo