Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upuuzi wa ubaguzi ni busara au hasara?

Kwa kusoma magazeti, ungedhani kwamba watu wote nchini wanavutiwa na hesabu tu, hesabu za Serikali na jinsi ya kuhesabu kura. Kumbe wengi hawamo kabisa katika hayo. Hebu ona barua hii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi

Watu weusi nchin Urusi wameiambia BBC jinsi ubaguzi wa rangi ulivyoyaathiri maisha yao

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuachane na upuuzi wa picha za mitandaoni

NIMESHANGAZWA na kusikitishwa sana na habari iliyotanda kwa sasa nchini kuhusu picha za kipuuzi zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Picha hizo zimefikia hata kuliteka Bunge letu, wabunge wameharibu muda wa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tutapuuzwa kwa upuuzi wetu kitaifa

WIKI iliyopita niliandika makala yenye kichwa cha habari “Rais Magufuli na Slack Management Style

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Raia Mwema

CCM itakuwa historia ikiendeleza upuuzi huu

WIKI iliyopita nilisema kwamba haiwezekani kuwa na chama cha siasa ambacho kinataka ridhaa ya kuw

Mwandishi Wetu

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Madai ya wanasayansi kuhusu 5G ni 'upuuzi mtupu'

Madai kuhusu madhara ya 5G katika mfumo wa kinga au kusambaa kwa virusi yamelaaniwa na jamii ya wanasayansi.

 

11 years ago

CloudsFM

KIKWETE: SINA MUDA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI

Rais Jakaya Kikwete amepuuza madai kwamba, alishiriki kumwokoa mwanawe, ambaye ni Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, aliyetuhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi.
Amesema kuwa urais ni taasisi kubwa nchini, hivyo yeye akiwa rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo baadhi ya watu wanaomsukuma ashiriki katika maneno hayo aliyoyaita kuwa ni ya “mitaani.”

“This is nonsense ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nape: Ni UPUUZI Kwa ICC Kufuatilia Uchaguzi wa Tanzania

Tuesday, August 25, 2015 Baada ya Muendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa itikadi na […]

The post Nape: Ni UPUUZI Kwa ICC Kufuatilia Uchaguzi wa Tanzania appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Bongo5

Kalapina adai akiwa mbunge hatosita kutoa kichapo kwa wenzie watakaomletea upuuzi

Rapper Kalapina ambaye anatarajia kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuusaka ubunge wa jimbo la Kinondoni, amesema kuwa akipata fursa hiyo hatosita kusambaza kichapo kwa wabunge wenzie pindi wanapokuwa na malumbano ndani ya mjengo. Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, Kalapina amedai kuwa atatembeza ‘nakozi’ kwakuwa anatambua hakuna sheria inayoweza kumbana kutokana na kufanya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani