Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urais unapogeuzwa urahisi

BAADA ya urais kugeuzwa urahisi kiasi cha watu wa hovyo wasio na sifa (watimbwakwiri) wala mipango kuuwania kwa udi na uvumba, ni jukumu la Watanzania kuwa makini kwenye uchaguzi ujao....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

URAHISI WA MUME KUTEMBEA NA MASHOSTI WA MKE!

Maisha ya kimapenzi yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana kwani kuna changamoto nyingi zinazoweza kujitokeza kiasi kwamba usipoangalia unaweza kuishia kusema hutakuja kumpenda mtu, heri uishi peke yako! Tatizo kubwa ambalo limekuwa likiwasumbua wengi walio kwenye ndoa na wale walio kwenye uhusiano wa kawaida ni usaliti. Lakini naomba leo niseme kwamba, wapo watu wanajitakia kusalitiwa na hapa nawazungumzia wanawake.
Kuna...

 

10 years ago

Vijimambo

URAHISI WA WEWE KUSALITIWA NA KIPI UFANYE KUEPUKA!

Hakika mapenzi ni imani, yaani kuamini kwamba uliyenaye anakupenda hata kama ukweli unaweza usiwe hivyo. Wengi walio na wapenzi wanajiaminisha kwamba wanavyowapenda wenza wao ndivyo wanavyopendwa.

Pia wapo ambao wanaamini kwamba eti kwa namna wanavyoonesha mapenzi yao, hata kwa dawa hawawezi kusalitiwa. Utamsikia mwanamke akisema; ‘bwana wangu mimi kwangu hapindui, ananipenda sana na hawezi kunisaliti’.

Mtu anayesema maneno hayo anajipa imani na ukifuatilia unaweza kukuta huyo anayesema hivyo,...

 

10 years ago

GPL

URAHISI WA WEWE KUSALITIWA NA KIPI UFANYE KUEPUKA!

Hakika mapenzi ni imani, yaani kuamini kwamba uliyenaye anakupenda hata kama ukweli unaweza usiwe hivyo. Wengi walio na wapenzi wanajiaminisha kwamba wanavyowapenda wenza wao ndivyo wanavyopendwa. Pia wapo ambao wanaamini kwamba eti kwa namna wanavyoonesha mapenzi yao, hata kwa dawa hawawezi kusalitiwa. Utamsikia mwanamke akisema; ‘bwana wangu mimi kwangu hapindui, ananipenda sana na hawezi kunisaliti’. Mtu anayesema maneno...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,unataka kuvunja uhusiano wako kwa urahisi?

Hakuna hisia mbaya zaidi inayokujia wakati unapokutana na chapisho linalokuhusisha wewe na mpenzi wako wa zamani mukijifurahisha.

 

5 years ago

Michuzi

EANNASO YAHAMASISHA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA AFYA KWA URAHISI


Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na sekta ya Afya katika nchi za Mashariki mwa Afrika(EANNASO) imesema taarifa zinazohusu upatikanaji wa huduma za afya zimekua hazipatikani kikamilifu na kusababisha hofu kwa watu wenye kuzihitaji.

Mkurugenzi wa taasisi hiyo,Olive Mumba amesema hayo wakati akizungumza katika kongamano la wadau kutoka Kenya na Tanzania juu ya upatikanaji wa taarifa muhimu wa namna wananchi wanaoishi katika mipaka ya nchi wanachama wa EAC wanaweza kupata huduma ...

 

11 years ago

Dewji Blog

PSPF kupitia PSS yazidi kuchimba hadi mizizi katika kufanikisha kuwafikia wananchi kwa urahisi

unnamed

Afisa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji.H.Jamadary akizungumza namna yakuweza kufaidika na uchangiaji wa hiari katika mfuko wa pensheni wa PSS.

Leo katika kuendelea kuchimba kwa mizizi kwa  kuwapa elimu wananchi mbalimbali mfuko wa pensheni wa PSPF katika mpango wa kuchangia kwa hiari Pss umeweza kuwafikia wananchi wa Tandika na mashirika mbalimbali wameweza kuhudhuria katika semina hiyo iliyo andaliwa na mfuko huo

Semina hiyo ililenga katika wafanya biashara wa aina mbalimbali ambao...

 

10 years ago

Bongo5

Asia wa ‘Leo’ atengeneza app ya simu ili kuwawezesha mashabiki kupata muziki wake kwa urahisi

Msanii wa muziki anayetamba na wimbo wa ‘Leo’ Asia Mjun ametengeneza app yake binafsi ‘Asia Mjun’ itayowawezesha mashabiki wa muziki wake kupata muziki wake kwa urahisi. Akizungumza jana na radio Free Africa, Asia amesema hii itawasaidia mashabiki wake kupata kazi zake pamoja na profile yake ya muziki. “Mimi kama msanii wa kwanza naweza nikasema hivyo […]

 

11 years ago

GPL

PSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISHA KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI‏

 Afisa mfuko wa pensheni wa pspf Hadji.H.Jamadary akizungumza namna yakuweza kufaidika na uchangiaji wa hiari katika mfuko wa pensheni wa PSS.  Debora Danniel afisa masoko PSPF ambaye alikuwa akifanya zoezi la kusajiri wanahisa wa kikundi cha Tandika Grain Agents Company PLC baada ya semina.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani