Ushahidi waliochoma polisi Bunju waendelea
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
SHAHIDI wa upande wa Serikali, Abdallah Mandai, katika kesi ya kuchoma Kituo cha Polisi Bunju A amedai kwamba aliegesha gari lake kituoni hapo aliporudi akalikuta limeharibiwa vibaya.
Shahidi huyo wa sita alidai hayo jana mbele ya Hakimu Thimos Simba wakati akitoa ushahidi wake kwa upande wa mashtaka.
Alidai aliegesha gari hilo kituoni hapo baada ya kuona barabara imezingirwa na kundi kubwa la watu wakiwamo wanafunzi, wakiandamana.
Alidai kuwa gari hilo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMaalim Seif alitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kujua waliochoma moto ofisi ya CUF jimbo la Dimani
Maalim Seif amesema hayo wakati alipotembelea ofisi hizo zilizoteketezwa kabisa kwa moto, tukio lililofanywa na watu wasiojuilikana juzi usiku, huko katika eneo la Kisauni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF amesema tukio hilo ni la kusikitisha...
10 years ago
Habarileo11 Jul
Bunju wateketeza kituo cha Polisi
WANANCHI wa Bunju jijini Dar es Salaam wamechoma moto kituo cha polisi cha Bunju A na gari lililodaiwa kusababisha ajali ya mwanafunzi na kusababisha kifo.
10 years ago
VijimamboKITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO
10 years ago
GPLWANANCHI BUNJU WACHOMA KITUO CHA POLISI
10 years ago
MichuziNEWZZ ALERT:KITUO CHA POLISI BUNJU CHACHOMWA MOTO.
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Polisi Kenya atoa ushahidi EPA
10 years ago
Vijimambo13 May
INSPEKTA WA POLISI ATOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA
SHAHIDI wa sita katika kesi ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Mkaguzi wa Polisi (Inspector) David Mhanaya, ameanza kutoa ushahidi wake leo hii katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.
Mbele ya Jaji Robert Makaramba anayesikiliza Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014, shahidi huyo ametumia siku nzima kutoa ushahidi wake akiongozwa na mawakili wa serikali Emil Kiria, Esther Majaliwa na Robert Kilando.
Hata hivyo, Jaji Makaramba aliahirisha kesi hiyo hadi...
10 years ago
MichuziINSPEKTA WA POLISI AANZA KUTOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Idd Azzan: Mwenye ushahidi nafanya biashara ya dawa za kulevya awape polisi