Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USHIRIKA VETERAN BINGWA WA BONAZA LA NANENANE ARUSHA

Mahmoud Ahmad,ArushaTimu ya Ushirika Veteran ya mkoani Kilimanjaro imeibuka bingwa wa Bonanza la Nanenane kwa kuifunga timu ya Kivule veteran ya ukonga jijini Dar es salaam kwa magoli 3-0  katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliondaliwa na timu ya Arusha All Stars kwenye uwanja wa sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Michezo hiyo ya nanenane iliyozishirikisha timu kutoka mikoa ya Arusha,Dodoma, Mwanza,Dar es salaam na Kilimanjaro ambao timu yao ndio waliibuka mabingwa wa mashindano hayo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Veteran golfer sparkles at Arusha tourney

Veteran golfer Richard Gomes was in a class of his own as he beat a field of 50 players to win the title in a special tournament at the Arusha Gymkhana Club at the weekend

 

10 years ago

Michuzi

BUKOBA VETERAN KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI KESHO JUMAMOSI 17.10.2015 NA BUSWELU VETERAN

Bukoba Veteran kucheza mchezo wa Kirafiki kesho jumamosi 17.10.2015 kwenye Uwanja wa shule ya seminari ya Ntungamo Bukoba na Timu ya Buswelu Veteran kutoka Jijini Mwanza. Mtandao wa Bukobasports.com ukiongea na Nahodha wa Timu hiyo Kepteni Mwinyi Rajab umeelezwa kwamba mpambano huo wa kirafiki utapigwa kesho jioni na amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Viwanja hivyo. Pia ameweza kuongeza kuwa kutapigwa mtanange mwingine wa kirafiki utaochezwa kesho yake jumapili 18.10.2015...

 

10 years ago

Michuzi

RADIO 5 YASHINDA NAFASI YA KWANZA MAONYESHOA YA NANENANE ARUSHA

SAM_4950Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akiwa anamkabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa kwanza kwa upande wa Radio na wapili katika sekta nzima ya mawasiliano katika kilele cha sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_4952Meneja masoko na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Radio 5 chashinda nafasi ya kwanza maonyesho ya Nanenane Arusha

 

unnamed

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akikabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa kwanza kwa upande wa Radio na wapili katika sekta nzima ya mawasiliano katika kilele cha sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Meneja masoko na...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL, MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA ARUSHA‏

Mkuu wa shule ya sekondari Sing’isi mwalimu, Upendo Kanana akipanda mti katika viwanja vya shule ya sekondari Sing’isi wakati wa siku maalumu ya upandaji miti zoezi lililoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni ya AIRTEL Arusha  huku wanafunzi wa shule hiyo nao wakishiriki tendo hilo jana Na Mwandishi wetu.
Kampuni ya simu za mkononi Airtel kwa kushirikiana taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na shughulu za...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL NA MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA MIKOANI... WAANZIA ARUSHA‏

Mkuu wa shule ya sekondari Sing’isi mwalimu Upendo Kanana akipanda mti katika viwanja vya shule ya sekondari Sing’isi wakati wa siku maalumu ya upandaji miti zoezi lililoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni ya AIRTEL Arusha  huku wanafunzi wa shule hiyo nao wakishiriki tendo hilo jana Kampuni ya simu za mkononi Airtel kwa kushirikiana taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na shughulu za utunzaji wa mazingira...

 

5 years ago

Michuzi

MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA


Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani