AIRTEL, MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA ARUSHA
Mkuu wa shule ya sekondari Sing’isi mwalimu, Upendo Kanana akipanda mti katika viwanja vya shule ya sekondari Sing’isi wakati wa siku maalumu ya upandaji miti zoezi lililoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni ya AIRTEL Arusha huku wanafunzi wa shule hiyo nao wakishiriki tendo hilo jana Na Mwandishi wetu. Kampuni ya simu za mkononi Airtel kwa kushirikiana taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na shughulu za...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAIRTEL NA MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA MIKOANI... WAANZIA ARUSHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa6nLU6D1zO6s1aydvigh7pCMMMcfSJbUKfSBZLmlnI*hcaR9vGQm8kGJBHfIv7HBAhraOTOw-F*xmLEZrqRk3d9/Picture1.jpg?width=750)
AIRTEL YAITAMBULISHA PROMOSHENI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI KWA WAKAZI WA ARUSHA
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA DUKA LA ARUSHA
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
TASJA yataka Saadani kutunza mazingira
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Sayansi (TASJA), kimewataka wakazi wanaoishi eneo la Hifadhi ya Saadani, kuhifadhi mazingira ya Mbuga hiyo ili iweze kuendelea kuwa historia hadi katika vizazi vijavyo....
10 years ago
Michuzi02 Jun
WATANZANA WAASWA KUTUNZA NA KUTHAMINI MAZINGIRA
![002](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/002.jpg)
![001](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/001.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5VzRDA4ybXw/XuRwahAskQI/AAAAAAALtqU/rZVtCmU0XWQAXnh8FoAVx_zPFkWIfRA-wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-13%2Bat%2B8.44.12%2BAM.jpeg)
MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AGAWA VIFAA VYA KUTUNZA MAZINGIRA
Bustani hiyo imejipatia umaarufu mkubwa wilayani Mwanga ambapo wananchi hufika kupiga picha hasa kwenye matukio muhimu kama Harusi, Mahafali na shughuli zingine.
Vifaa hivyo vimetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva ambapo amesema...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-N6hVAR_KmwQ/UyBoU4CG41I/AAAAAAAFTGQ/CYSzqau5vsI/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...