TASJA yataka Saadani kutunza mazingira
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Sayansi (TASJA), kimewataka wakazi wanaoishi eneo la Hifadhi ya Saadani, kuhifadhi mazingira ya Mbuga hiyo ili iweze kuendelea kuwa historia hadi katika vizazi vijavyo....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi02 Jun
WATANZANA WAASWA KUTUNZA NA KUTHAMINI MAZINGIRA
![002](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/002.jpg)
![001](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/001.jpg)
11 years ago
GPLAIRTEL, MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA ARUSHA
Mkuu wa shule ya sekondari Sing’isi mwalimu, Upendo Kanana akipanda mti katika viwanja vya shule ya sekondari Sing’isi wakati wa siku maalumu ya upandaji miti zoezi lililoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni ya AIRTEL Arusha huku wanafunzi wa shule hiyo nao wakishiriki tendo hilo jana Na Mwandishi wetu.
Kampuni ya simu za mkononi Airtel kwa kushirikiana taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na shughulu za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5VzRDA4ybXw/XuRwahAskQI/AAAAAAALtqU/rZVtCmU0XWQAXnh8FoAVx_zPFkWIfRA-wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-13%2Bat%2B8.44.12%2BAM.jpeg)
MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AGAWA VIFAA VYA KUTUNZA MAZINGIRA
Charles James, Michuzi TVKATIKA kuhakikisha mazingira yanatunzwa pamoja na kuwa safi, Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imekabidhi vifaa vya utunzaji mazingira kwa timu ya watendaji wake katika bustani iliyopo eneo maarufu la maliasili.
Bustani hiyo imejipatia umaarufu mkubwa wilayani Mwanga ambapo wananchi hufika kupiga picha hasa kwenye matukio muhimu kama Harusi, Mahafali na shughuli zingine.
Vifaa hivyo vimetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva ambapo amesema...
Bustani hiyo imejipatia umaarufu mkubwa wilayani Mwanga ambapo wananchi hufika kupiga picha hasa kwenye matukio muhimu kama Harusi, Mahafali na shughuli zingine.
Vifaa hivyo vimetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva ambapo amesema...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-N6hVAR_KmwQ/UyBoU4CG41I/AAAAAAAFTGQ/CYSzqau5vsI/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira
Na Kibada Kibada –Katavi
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EcPmiPVTFII/XtZqVIWSIjI/AAAAAAALsWc/i9zezqTSWtgZ1Y45RSCY_6ego4CXco34wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200601_153508_3.jpg)
Wananchi Watakiwa kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Na Woinde Shizza , ARUSHA
BARAZA la Taifa la hifadhi na usimamizi wa Mazingira Kanda ya kaskazini (NEMC) limewataka wananchi kutunza mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Meneja Meneja wa kanda ya kaskazini Lewis Nzali alisema uharibifu wa mazingira unachangia kwa kiasi kikubwa kupoteza kwa baadhi ya viumbe hai maarufu kama bionuai pamoja na hali ya jangwa na ukame.
Alisema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NOoi_UKqEp8/Xto7SMrIQ_I/AAAAAAALssk/N9TTomNCqV4IguNOT9dfFMfqGvg2KsrsgCLcBGAsYHQ/s72-c/SILAYO.jpg)
KAMISHNA WA UHIFADHI WA MISITU TANZANIA PROFESA SILAYO AWAKUMBUSHA WATANZANIA KUTUNZA MAZINGIRA
![](https://1.bp.blogspot.com/-NOoi_UKqEp8/Xto7SMrIQ_I/AAAAAAALssk/N9TTomNCqV4IguNOT9dfFMfqGvg2KsrsgCLcBGAsYHQ/s400/SILAYO.jpg)
KAMISHNA wa Uhifadhi wa Misitu Tanzania kutoka Wakala wa Huduma za Misitu nchini(TFS) Profesa Dos Santos Silayo amewakumbusha Watanzania wote kuhakikisha wanatimiza wajibu wao kutunza mazingira ili yaweze kuendelea kutoa huduma zake kama ambavyo tunatarajia ikiwemo ya hewa safi na kuifanya Dunia kusa mahali salama pa kuishi.
Pro.Silayo ameyasema hayo leo wakati akizungumzia Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila Juni 5 ya kila mwaka ambapo...
11 years ago
GPLAIRTEL NA MOJIFA WAANZA USHIRIKA WA KUTUNZA MAZINGIRA MIKOANI... WAANZIA ARUSHA
Mkuu wa shule ya sekondari Sing’isi mwalimu Upendo Kanana akipanda mti katika viwanja vya shule ya sekondari Sing’isi wakati wa siku maalumu ya upandaji miti zoezi lililoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni ya AIRTEL Arusha huku wanafunzi wa shule hiyo nao wakishiriki tendo hilo jana Kampuni ya simu za mkononi Airtel kwa kushirikiana taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na shughulu za utunzaji wa mazingira...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-osBuQmnptPE/U7hONfKPdJI/AAAAAAAFvNk/TR-7bfnex68/s72-c/unnamed+(44).jpg)
WAKAAZI WA MTO WA MBU NA WAFANYAKAZI WA HIFADHI YA ZIWA MANYARA WASHIRIKI KUTUNZA MAZINGIRA
Wakaazi wa kata ya Mto wa Mbu waliwapongeza wafanyakazi hao kwa kujitolea na kuacha shughuli zao kwenda kuhimiza usafi wa mazingira ya mji wao huku wakiwataka wenzao kujali usafi wa mazingira ilikuepuka magonjwa ya milipuko Kwa upande wake kaimu mhifadhi wa hifadhi ya ziwa manyara Ibrahimu Yamola alisema kuwa wakazi hao ambao ni jirani na mbuga hiyo wnapaswa kuyajali mazingira wanamo ishi kwa kyaweka katika hali ya kuvutia kwani mji wao unapokea wageni mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania