Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushirikiano wa ma-producer wa Tanzania upo kwa asilimia ndogo sana — Nahreel

Ili muziki wa Tanzania ukue na uende mbali inahitajika nguvu ya pamoja upande wa wasanii na hata watayarishaji wa muziki. Producer Nahreel wa The Industry amesema kuwa upande wa watayarishaji wa muziki ushirikiano uliopo ni mdogo sana. “Ushirikiano wa maproducer wa Tanzania kufanya kazi pamoja haupo kwa asilimia kubwa ni maproducer wachache sana ambao wanakuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPIGA HATUA KATIKA UDHIBITI WA SILAHA NDOGO NDOGO NA NYEPESI

Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi. 
 Imeelezwa kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na tatizo la uzagaaji wa silaha ndogo ndogo na nyepesi kutokana na nchi nyingine za Afrika kuja kujifunza jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo hapa nchini. 
 Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw.Meshack Ndaskoi wakati akifungua semina ya jinsia na uthibiti wa silaha ndogondogo na nyepesi iliyofanyika katika chuo cha Taaluma...

 

9 years ago

Bongo5

Tumepata feedback ‘Game’ inafanya vizuri sana kwenye nchi nyingi Afrika — Nahreel

Producer na msanii wa Navy Kenzo, Nahreel amekiri kuwa ngoma yao ‘Game’ ndio imefungua njia waliyohangaika kuitafuta kwa muda mrefu. Ndani ya mwezi mmoja toka waiachie, ‘Game’ imeweza kukamata chati mbalimbali za Radio na Tv sehemu nyingi Afrika. Imeshika namba moja kwenye chati za vituo hivyo ikiwa ni pamoja na Top Ten East ya Soundcity […]

 

9 years ago

Dewji Blog

ESAURP yaandaa mafunzo kwa wafanyabiashara ndogo ndogo mkoani Mbeya

DSC_0554

 

Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika (ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.(Picha Emanuel Madafa Mbeya wa JAMIIMOJABLOG).

DSC_0606

Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika...

 

9 years ago

Vijimambo

TAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI (ESAURP)YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MKOANI MBEYA


Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika ( ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika mafunzo hayo ya siku tano yaliyolenga kuwapatia...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 124

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya mafanikio ya uzalishaji wa chakula nchini kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuregenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA INAFANYA VIZURI KWENYE KUPUNGUZA TB KWA ASILIMIA 75


Na. Catherine Sungura-Dodoma.
Tanzania ni moja ya nchi mbili afrika zinazofanya vizuri katika kupunguza maambukizi,kutibu pamoja na kupona ugonjwa wa kifua kikuu “TB” na hivyo kufikia asilimia 75 ya malengo yaliyowekwa.
Hayo yameelezwa leo na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu Afya Dkt. Zainabu Chaula wakati wa mkutano wa kupokea ripoti ya tathimini ya mapitio ya mpango mkakati wa kifua na ukoma uliofanyika jijini hapa.
“Shirika la Afya Duniani...

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Tanzania kinara wa kuzalisha mpunga A. Mashariki kwa asilimia 65

Licha ya taarifa mbalimbali kuonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wameajiriwa na sekta ya kilimo, hali ya sekta hiyo bado si ya kuvutia.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania.

Siku za hivi karibuni hapa nchini Tanzania ,vijana wengi mitaani wamekuwa wakijipatia kipato chao cha mkate wao wa kila siku kupitia kazi ya kuokota makopo yaliyotupwa na watumiaji ambayo awali yalikuwa na vinywaji aina tofauti tofauti,vijana […]

The post Nchi pekee duniani kwa hivi sasa ambayo kuokota makopo imegeuka ni ajira kubwa sana kwa vijana ni Tanzania. appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani