ushujaa wampa uraia Lassana Bathily
Lassana Bathily kwa ushujaa wake apewa hati halali ya ukaazi nchini Ufaransa, na sasa ni raia halisi .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBC
VIDEO: Mali welcomes 'hero' Lassana Bathily
10 years ago
Vijimambo11 Sep
USHUJAA WA LOWASA

Kwa miaka miwili tu ya Uwaziri Mkuu, alifanya makubwa sana zaid ya walikoaa miaka 10, pia aliwaonesha na kuwafundisha KWA VITENDO KAMA IFUATAVYO
1.UMUHIMU WA ELIMU AWALI, kwa kuanzia ujenzi wa shule za kata ...lakini tangu alipoondoka ukadolola na kuisha.
2.UMUHIMU WA ELIMU YA JUU..kwa kuhimiza na kusimamia ujenzi UDOM kwa nguvu zote ujenzi ukafanyika..alipoondoka, mpaka leo majengo mengi UDOM hayatumiki (wanafunzi wa UDOM watakuwa mashahidi wa hili), ...waliobaki serikalin...
11 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Othman atahesabika kwa ushujaa wake
MENGI yatanong’ongwa, yatasemwa kwa upole au jazba. Yatasikika, yataandikwa, yatasomwa juu ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, Othman Masoud. Wakati wapo waliosherehekea hatua ya Rais wa...
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Mbwa aliyeuawa Paris kupewa nishani ya ushujaa
10 years ago
GPLUCHAGUZI WAMPA LIKIZO JB
10 years ago
Bongo Movies24 May
Ukatili Wampa Ulaji Jengua
Muigizaji mkongwe wa hapa Bongo, Mzee Jengua amesema kuwa ameshirikishwa katika filamu ya Sio Dili inayohusu mauaji ya Albino kutokana na hulka yake ya ukatili awapo kazini.
Akizungumza na Gazeti la Nipashe , Jengua alisema muandaaji wa filamu hiyo aliona yeye ndio anafaa kuwa mtu anayefanya biashara ya viungo vya Albino kutokana na uigizaji wake wa ukatili, katika filamu zilizopita.
Jengua hata hivyo amesema anaumizwa na tabia za watu ambao hukata viungo vya au kuwaua kwa imani za...
9 years ago
Habarileo06 Nov
Wazee wampa baraka Magufuli
WAASISI na wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemtakia kila la heri Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli kutekeleza majukumu yake vyema ya kuwatumikia wananchi wote wa Tanzania akiwa Rais wa Awamu ya Tano.
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Walimu ‘wampa ndiyo’ Makamba
11 years ago
Mwananchi13 May
Tabora wampa Kinana salamu za JK