Usiambatane au kuongozana na walioshindwa, watakukatisha tamaa
Watu hawa wawe ni ndugu, marafiki au majirani kama wameshindwa usiendelee kusikiliza kushindwa kwao bali angalia wewe au hakikisha hauingii kwenye vitu ambavyo wao wameshindwa. Kuna usemi unasema “ndege wenye mabawa ya aina moja huruka pamoja kama sijakosea”. Huwezi ukaongozana na mtu ambaye hamna ajenda moja huko ni kupoteza mwelekeo hata kama huyo mtu ni […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Q9UjoRHA1f8/VoultpKMLmI/AAAAAAAIQf4/r3Tz89_Xrjc/s72-c/IMG_8143.jpg)
MWESIGWA KUONGOZANA NA SAMATTA NIGERIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Q9UjoRHA1f8/VoultpKMLmI/AAAAAAAIQf4/r3Tz89_Xrjc/s400/IMG_8143.jpg)
Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu Mkuu...
9 years ago
Michuzi05 Jan
Mwesigwa Selestine kuongozana na Mbwana Samatta katika sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
![](http://tff.or.tz/images/Samatta.png)
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta (pichani) kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu...
9 years ago
Habarileo16 Aug
'Tusiwakebehi walioshindwa kura za maoni'
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyepitishwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea ubunge Jimbo la Igalula, Musa Ntimizi, amewaomba wanaCCM wenzake ambao wamepitishwa na vikao vya juu kugombea kwenye nafasi za udiwani na ubunge waache kushangilia kwa kuwakebehi walioshindwa.
9 years ago
Habarileo16 Sep
‘Walioshindwa Afrika wanastahili pongezi’
SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) limesema licha ya mabondia kushindwa kufanya vizuri katika Michezo ya Afrika iliyofanyika Congo Brazzaville, bado wanastahili pongezi.
9 years ago
Habarileo02 Nov
Wanasiasa walioshindwa wapewa somo
VIONGOZI wa vyama vya siasa ambao wanadhani hawakutendewa haki katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni, wametakiwa kutumia njia za busara, hekima na taratibu za kisheria za kidiplomasia katika kudai haki yao na sio kutaka kuvuruga amani na kusababisha damu kumwagika.
9 years ago
Habarileo13 Dec
Walioshindwa kulipa kodi hadharani
MAKAMPUNI 15 yaliyokwepa kodi baada ya kutorosha makontena yao, yamejisalimisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), lakini yameshindwa kulipa kodi ndani ya siku saba za msamaha wa Rais John Magufuli.
10 years ago
Bongo Movies29 Apr
Kajala Awapoza Walioshindwa, Shindano la EFM
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja hivi majuzi aliwapoza washiriki walioshindwa kwenye shindano la Shika Ndinga lililoandaliwa na Kituo cha Redio cha EFM cha jijini Dar es Salaam.
Ambapo mkazi wa Ilala, Stela Robert (26) na Gabriel Geoffrey (36) wa Temeke wameibuka washindi wa gari na kukabidhiwa funguo za magari yao katika viwanja vya Tanganyika Pekas Kawe ambapo lilifanyikia shindano hilo.
Kwa mujibu wa ofisa Uhusiano wa EFM, Lydia Moyo alisema shindano hilo lilikuwa na raundi nne...
10 years ago
Mtanzania27 Apr
EFM yakabidhi gari, Kajala awapoza walioshindwa
NA ASIFIWE GEORGE
MKAZI wa Ilala, Stela Robert (26) na Gabriel Geoffrey (36) wa Temeke wameibuka washindi wa gari katika shindano la Shika Ndinga lililoandaliwa na Kituo cha Redio cha EFM cha jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick ndiye aliyewakabidhi funguo za magari yao maarufu kwa jina la Kirikuu lililofanyika katika viwanja vya Tanganyika Pekas Kawe huku akiwataka wasiofanikiwa kupata zawadi waendelee kujaribu bahati zao katika mashindano mengine...
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Dully: Walioshindwa kumzika baba yangu wamenihuzunisha
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby Sykes juzi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini juzi mara baada ya kumalizika kwa mazishi ya baba yake, msanii huyo alisema ameshangaa jinsi gani wasanii wengi wamekuwa na roho za chuki.
Alisema matarajio yake yalikuwa kuwaona wenzake wakiungana naye katika wakati huo mgumu, lakini ni wachache sana walioonyesha moyo...