USIKU MAALUM WA BIRTHDAY YA MR. JACK’S ULIOPAMBWA NA SKYLIGHT BAND
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_00022.jpg)
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel's akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel's kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack's kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack's a.k.a Jack Daniel's. Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_01591.jpg)
MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA WAKIKARIBISHWA NA SHOT ZA JACK DANIEL’S LEO
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.
Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.
Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
It’s Friday and its on ‪#‎TGIF‬, Skylight Band kukinukisha Thai Village usiku wa leo
Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa Live
Come and experience good music from our young talented singers #AnethKushaba #John music & #Ashura #Sony Masamba #Sam Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live…ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni...
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One
Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke…Njoo ucheze ma-style ya nguvu ikiwemo style mpya ya “Kikuku Kwiyo-kwiyo”…Just Follow the light!
10 years ago
Vijimambo13 Mar
IT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU WA LEO
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0416.jpg?width=640)
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BAND NDANI THAI VILLAGE
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_00091.jpg)
SKYLIGHT BAND IMEBADILI SURA YA MUZIKI WA LAIVU
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Skylight Band yatoa ratiba yake ya wiki tukianza na mkesha wa X-MASS usiku wa leo ndani ya Escape One
24.12.14 Mkesha wa XMASS tutakua ESCAPE1, show itaanzaa saa mbili usiku, kiingilio buku 7000/= tu: tukutane ESCAPE1 tuikaribishe XMASS
Vile vile tunapenda kutoa taarifa na kuwaomba radhi wadau wetu kutokana na safari yetu ya kanda ya ziwa XMASS hii, show zetu za ijumaa tarehe 26.12.14 thai village na jumapili 28.12.14 ESCAPE1 hazitofanyika.
Ila tukutane tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 31.12.14 ndani ya ESCAPE1. .. Burudika na bendi yako katika msimu huu wa siku kuu…Skylight Band…just...