Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usiogope kubadilisha malengo ya kazi yako, hakumaanishi umekata tamaa

Kama utakumbuka, kuna wakati niliandika makala inasema malengo hubadilika ila utu wako haubadiliki, haiko peke yako. Je! unaogopa kubadilisha malengo ya kazi unayofanya? Hapa nitakueleza baadhi ya vitu ambavyo naendelea kujifunza, kubadilisha mawazo ni tofauti kabisa na kukata tamaa. Nimekuwa nikifikiria kuhusu mipango na malengo na namna ya kuyaweka sawa na kwa namna gani unaweza […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mwongozo wa kutafuta kazi inayoendana na malengo yako

Kama unatafuta kazi, soma HAPA upate dondoo chache zinazoweza kukusaidia, na kukuongezea kwa zile ulizonazo tayari, 1. Unatakiwa ujue wapi unaangalia au kutafuta kazi Hapa inamaanisha usitumetume barua zako za kuomba kazi popote. Fanya uchunguzi na uelewe ni makampuni gani yanahitaji watu kama wewe na je unawezaje kuingia huko? Unaweza ukasema hicho kitu hakiwezekani ila […]

 

10 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!

Kuna vipaji vingi vya muziki hapa nchini ambavyo kutokana na sababu mbalimbali, vimeshindwa kuonekana. Kikwazo kikubwa ni gharama za kuingia studio na kurekodi wimbo wenye kiwango kizuri cha kuchezwa redioni. Hata kwa wale waliofanikiwa kurekodi nyimbo zao, bado wanakutana na vikwazo vingi pale wanapopeleka nyimbo zao kwenye vituo vya redio. Kutokana na kuwepo wingi wa […]

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?

Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Katiba na Sheria waaswa kufanya kazi kwa malengo

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wameaswa kuendeleza ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutimiza malengo ambayo Wizara imejiwekea.
Akizungumza na watumishi wa makao makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Novemba 20, 2014), Katibu Mkuu Bi.  Maimuna Tarishi amesema ushirikiano na upendo ni ngunzo muhimu za mafanikio katika taasisi yoyote.
“Watumishi wa umma, hasa tuliopo Dar es Salaam, tunatumia muda mrefu tukiwa kazini hivyo tunatakiwa tupendane na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwenye malengo ya kweli maishani atapangilia utendaji wa kazi zake

Swali: Nimekuwa nikivutiwa na mada zako. Mimi nimekuwa nikitamani kuwa mfanyabiashara mkubwa lakini nina tatizo la kutekeleza yale niliyopanga. Mara nyingi hupanguka kutokana na matatizo mengine. Naomba kujua nitumie mbinu gani ili kuwa na mafanikio? Mimi Geofrey Jafar ni mfanyabiashara mkoani Mbeya.

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi acha kujitetea, fanya kazi yako TFF

Kila jambo lina na mwanzo na mwisho, au kwa maneno mengine, mwanzo wa leo ni mwisho wa jana na mwisho wa leo ni mwanzo wa kesho. Nakumbuka mwaka jana kwa miezi kadhaa, uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ulikuwa kiini cha mazungumzo kila kona.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Usiogope maumivu ya leba

TUANZE makala na kifungua mada tukiwasikiliza washkaji wawili wakijadiliana jambo Fulani. Mshikaji 1: Nimefurahia kumsindikiza mke wangu huko kliniki ya wajawazito. Kumbe humo kuna vichekesho. Unajua mke wangu amesoma mpaka...

 

9 years ago

Bongo Movies

Je Unataka kwenda kuishi kufanya kazi Marekani? Nafasi ni Yako

Hauitajika kulipa hata senti tano ni buree! Jaribu bahati yako, muda uliobakia ni mchache sana. Mwisho wa kutuma maombi ni November 3, 2015.

Kila mwaka Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wa Marekani imekuwa ikitoa nafasi ya kutuma maombi ya watu kwenda kuishi Marekani kupitia mpango ujulikano kama “Diversity Visa program (DV-2017)”. Ni kama vile bahati nasibu na hapa  hautakiwi kutoa au kulipa chochote zaidi ya kuwa na picha yako ya digitali na kujaza maelezo machache kupitia mtandao wao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ney Lee kusambaza ‘Usiogope’

MWANADADA anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Ney Lee, anatarajia kusambaza kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Usiogope’. Ney Lee, ametamba katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani