Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwongozo wa kutafuta kazi inayoendana na malengo yako

Kama unatafuta kazi, soma HAPA upate dondoo chache zinazoweza kukusaidia, na kukuongezea kwa zile ulizonazo tayari, 1. Unatakiwa ujue wapi unaangalia au kutafuta kazi Hapa inamaanisha usitumetume barua zako za kuomba kazi popote. Fanya uchunguzi na uelewe ni makampuni gani yanahitaji watu kama wewe na je unawezaje kuingia huko? Unaweza ukasema hicho kitu hakiwezekani ila […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Usiogope kubadilisha malengo ya kazi yako, hakumaanishi umekata tamaa

Kama utakumbuka, kuna wakati niliandika makala inasema malengo hubadilika ila utu wako haubadiliki, haiko peke yako. Je! unaogopa kubadilisha malengo ya kazi unayofanya? Hapa nitakueleza baadhi ya vitu ambavyo naendelea kujifunza, kubadilisha mawazo ni tofauti kabisa na kukata tamaa. Nimekuwa nikifikiria kuhusu mipango na malengo na namna ya kuyaweka sawa na kwa namna gani unaweza […]

 

5 years ago

Michuzi

DKT MLIMUKA AONGOZA UZINDUZI WA MWONGOZO WA KAZI KWA NCHI ZA SADC KUPITIA JUKWAA LA SEKTA BINAFSI SPSF

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Jukwaa la Sekta binafsi SADC (SPSF) imezindua Sheria za Kazi za SADC ikijumuisha sera, vipaumbele, maswala, na mipango kwa wafanyakazi wa sekta binafsi.
SPSF kwa msaada wa Shirika la Kazi la Kimataifa (ILO), waliweza kutunga mwongozo wa Sheria ya Kazi katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika.

Uzinduzi wa mwongozo huo wa sheria ni kwa lengo la ufikiaji kwa sheria za kazi kwa nchi zote 16 za Ukanda wa Kusini mwa jangwa la sahara SADC kwa kufuata wajibu...

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?

Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Chuo kikuu ni fursa ya kuondoa ujinga, siyo kutafuta kazi’

Hivi karibuni nilialikwa kwenye makulaji ya kumaliza mwaka yaliyoandaliwa jijini hapa na Wafanyakazi wa Nice Catering Company yanye Makao Makuu yake Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

SHANGINGI MSTAAFU: JAMANI EEH, KUTAFUTA SAWA LAKINI KAZI NA DAWA

NINA imani kwa uwezo wa Manani wote ni wazima, binafsi namshukuru Karima. Waswahili wana msemo wao usemao maneno mengi hayajengi  bali vitendo ndivyo vinavyojenga.
Kwa maana hiyo leo sitaki kusema maneno mengi bila ya kuwapa watu kile kitu roho inapenda.
Jamani leo nawazungumzia wanaume ambao siku zote wanakuwa bize katika kutafuta maisha  na kushindwa hata kukaa na familia zao kubadilishana fikra na mitazamo mbalimbali....

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI ASEMA HAKUOMBA URAIS KUTAFUTA FEDHA BALI KUWAFANYIA KAZI WANANCHI

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba tayari kuhutubia wakazi wa Manispaa ya Bukoba.Umati wa wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiwa wamefurika katika viwanja vya Gymkhana kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa manispaa ya mji wa Bukoba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwenye malengo ya kweli maishani atapangilia utendaji wa kazi zake

Swali: Nimekuwa nikivutiwa na mada zako. Mimi nimekuwa nikitamani kuwa mfanyabiashara mkubwa lakini nina tatizo la kutekeleza yale niliyopanga. Mara nyingi hupanguka kutokana na matatizo mengine. Naomba kujua nitumie mbinu gani ili kuwa na mafanikio? Mimi Geofrey Jafar ni mfanyabiashara mkoani Mbeya.

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Katiba na Sheria waaswa kufanya kazi kwa malengo

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wameaswa kuendeleza ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutimiza malengo ambayo Wizara imejiwekea.
Akizungumza na watumishi wa makao makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Novemba 20, 2014), Katibu Mkuu Bi.  Maimuna Tarishi amesema ushirikiano na upendo ni ngunzo muhimu za mafanikio katika taasisi yoyote.
“Watumishi wa umma, hasa tuliopo Dar es Salaam, tunatumia muda mrefu tukiwa kazini hivyo tunatakiwa tupendane na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani