Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIOMBE KUZALIWA WA PILI!

Unajua uzuri wa makala hii iliyotukuka ni kuwa kabla sijaandika kitu huwa nafanya utafiti wa hali ya juu. Naanza mwaka kwa kutangaza kuwa nimetumia fedha nyingi kulipa kamati mbalimbali kufanya utafiti na kugundua kuwa magazeti yetu ya hapa Bongo kumbe yanasomwa mpaka peponi. Najua wapinzani wa makala hii iliyotukuka tayari wameshaanza kunyanyua mabango ya kubisha, ngojeni niwape ushahidi. Nyie hamjaona kwenye magazeti mtu akifa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

USIOMBE GONJWA HILI LIKUPATE

Stori: MAKONGORO OGING’
MARY Izengo (52), mkazi wa Kijiji cha Umanda- Msalala, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza anateseka kiasi cha kutamani afe kufuatia gonjwa la ajabu alilonalo huku akisema ndugu, wakiwemo watoto wake wamemtenga. Mchungaji Mary Izengo.
Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Wadi Namba 23, Jengo la Sewa Haji kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, mwanamke huyo alisema usiombe...

 

10 years ago

Mwananchi

Usiombe kukutana na mabeki hawa

Utamu wa soka ni mabao na hilo ndilo jambo linalowavutia mashabiki wengi duniani kote, lakini msimu huu Ligi Kuu Bara tumeshuhudia mabeki wakitamba.

 

10 years ago

GPL

USIOMBE YAKUKUTE YALIYOMTOKEA MREMBO HUYU

Issa Mnally
MAMBO mengine ni ya kuyasikia yakiwatokea wenzako na usiombe yakakukuta kama ilivyomtokea msichana huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja baada ya kuchukua kipigo ‘hevi’ ambacho nusura apoteze maisha yake, maeneo ya Sinza Afrikasana, juzi Jumatatu. Dada huyo akilia baada ya kupokea kichapo kikali. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema, binti huyo akiwa na mwanaume mmoja, walionekana wakitoka katika...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maradhi yote ugua ila BT usiombe

“…Eee bwana wee isiwe tabu huu muembe chukua wewe isipokua embe tu zikizaliwa nitachukua mie! Sasa huo muembe unautaka wa nini? Kivuli?…”Alihoji bwana Othman. Hio ilikua ni shabihisho ya funga mwaka alioitoa bwana Othman Masoud, aliyekua […]

The post Maradhi yote ugua ila BT usiombe appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA YA MKAPA AWAMU YA PILI

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Zanzibar Seif Ali Iddi akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Amani- Mtoni kwa awamu ya pili ya ujenzi wake katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar. (kushoto alievaa kofia ya pama) Katibu Mkuu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Malik Akili.Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni ikiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KULIINGIZA ZAO LA PILI PILI KICHAA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI.


Mhandishi na mkulima wa Manguajuki manispaa ya Singida,akikagua pilipili kichaa.Bei ya pilipili kichaa kilo ni shilingi 5,000 kwa kilo. Sehemu ya ekari tano za shamba la pilipili kichaa la mhandisi/mkulima wa Manguanjuki manspaa ya SingidamHassan Tati. Mmoja kati ya miche ya mapapai iliyopo kwenye shamba la pilipili kichaa linalomilikiwa na mhandisi/mkulima Haasan Tati mkazi wa Manguanjuki nje kidogo ya mji wa Singida.Mhandisi na mkulima na mkazi wa Manguanjuki manispaa ya ...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu awamu ya pili ya kampeni ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili (Kampeni Gogota). Kulia ni Mratibu wa Dawati la Katiba wa kituo hicho, Anna Henga na Mwanasheria wa Kituo hicho, Harold Sungusia.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani