Usiombe kukutana na mabeki hawa
Utamu wa soka ni mabao na hilo ndilo jambo linalowavutia mashabiki wengi duniani kote, lakini msimu huu Ligi Kuu Bara tumeshuhudia mabeki wakitamba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdjg1IshNJXaSGCjPNkfyqV3paWuzvIloF3GhbPPFU30XPNR2oFk*XXzSDlJSN7GFAWIS3VD07m1Ss1kTJv4e6Mf/CHEKANAKITIME.jpg)
USIOMBE KUZALIWA WA PILI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yIQ0rpb5nImndskXmZ8BZJTal-HWnfLm*Nx6ivOQlaO9*dnTnrPzrW0AFmn1NybsskAhl7JtfVnfXBUSnM1Wokg/gonjwa.jpg?width=650)
USIOMBE GONJWA HILI LIKUPATE
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Maradhi yote ugua ila BT usiombe
“…Eee bwana wee isiwe tabu huu muembe chukua wewe isipokua embe tu zikizaliwa nitachukua mie! Sasa huo muembe unautaka wa nini? Kivuli?…”Alihoji bwana Othman. Hio ilikua ni shabihisho ya funga mwaka alioitoa bwana Othman Masoud, aliyekua […]
The post Maradhi yote ugua ila BT usiombe appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5Ach5PTx-AyCiU*Cv-me1Ivd71WNu1DW0RVTb9v991BMvXymSK-JBCm1lbTPsV60ecAwE4Md7MZnFjx*YmrwoGtS/1.jpg?width=650)
USIOMBE YAKUKUTE YALIYOMTOKEA MREMBO HUYU
9 years ago
Vijimambo04 Sep
DR SLAA AKIRI KUKUTANA NA MWAKYEMBE SIKU MOJA KABLA YA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI, AMWAMBIA LISSU AONYESHE VOCHA YA YEYE KUCHUKUA MSHAHARA CHADEMA
![](http://jewajua.com/wp-content/uploads/2015/09/Dr-Wilbroad-Slaa-Akitangaza-Kuachana-na-Sisa-za-Vyama-741x486.jpg)
SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia mgombea...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
UMAKINI: Mabeki Stars majanga
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Stars kuanza mabeki watatu
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Stewart alia na mabeki, Cecafa
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amesema safu ya ulinzi ya timu hiyo ilicheza vibaya dhidi ya Simba juzi na kusababisha matokeo ya sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Licha ya sare hiyo, Azam imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 26, Yanga ikifuatia kwa pointi 24, Mtibwa Sugar 23 na Simba ikijikusanyia pointi 22 katika nafasi ya nne.
Akizungumza mara baada ya...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Morocco: Mabeki Simba tatizo