Morocco: Mabeki Simba tatizo
Kocha wa timu ya Mafunzo, Hemed Morocco amesema kikosi cha Simba kinaendelea kuimarika, hasa safu ya viungo na ushambuliaji huku akidai bado kuna tatizo kubwa katika ulinzi wa pembeni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Umaliziaji tatizo Simba
11 years ago
Mwananchi31 Mar
MTAZAMO: Kumbukumbu ni tatizo Yanga, Simba
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Usiombe kukutana na mabeki hawa
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Stewart alia na mabeki, Cecafa
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amesema safu ya ulinzi ya timu hiyo ilicheza vibaya dhidi ya Simba juzi na kusababisha matokeo ya sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Licha ya sare hiyo, Azam imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 26, Yanga ikifuatia kwa pointi 24, Mtibwa Sugar 23 na Simba ikijikusanyia pointi 22 katika nafasi ya nne.
Akizungumza mara baada ya...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
UMAKINI: Mabeki Stars majanga
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Stars kuanza mabeki watatu
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Mabeki Yanga wapewa onyo kali
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Mabeki wa pembeni wanaolipwa fedha nyingi
9 years ago
Habarileo30 Oct
Kocha Yanga: Mabeki wametuangusha Sh’nyanga
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, ameitupia lawama safu yake ya ulinzi kwa kusema ilikosa umakini na kusababisha wapinzani wao Mwadui FC kusawazisha bao la pili dakika za mwisho.