Stars kuanza mabeki watatu
Kuyumba kwa safu ya ulinzi ya timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ kwa siku za karibuni kumemlazimu kocha mkuu, Mart Nooij kuwapanga mabeki watatu katika mchezo wa kesho dhidi ya Benin.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jul
UMAKINI: Mabeki Stars majanga
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Nyota Stars kuanza kusakwa Februari 22
MICHUANO maalumu ya soka ya kushindanisha vikosi vya mikoa 22 ya Tanzania Bara kupata nyota wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, itachezwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 5. Hayo yalisemwa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-j-6h12Zwfb4/VkMKOcLWcxI/AAAAAAAIFQw/y6m2wKLJPr0/s72-c/kibadeniii.jpg)
KOCHA KIBADENI KUANZA KUINOA KILIMANJARO STARS
![](http://3.bp.blogspot.com/-j-6h12Zwfb4/VkMKOcLWcxI/AAAAAAAIFQw/y6m2wKLJPr0/s400/kibadeniii.jpg)
Kilimanjaro Stars inashiriki michuano hiyo mikongwe kabisa barani Afrika, ambapo jumla ya nchi 12 wanachama wamedhibitisha kushiriki michuano hiyo itakayomalizika Disemba 6 mwaka huu.
Nchi zingine zinazoshiriki michuano hiyo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zdxnlnjt4sQ/VX6rn32I7fI/AAAAAAAHfhE/mz0emDHv1FY/s72-c/Baadhi%2Bya%2Bwatanzania%2Bwalipata%2Bnafasi%2Bya%2Bkushuduia%2Bmchezo.jpg)
TAIFA STARS YAANZAUSAJILI WA WACHEZAJI KUANZA JUNI 15 MWAKA HUU.
Taifa Stars ilicheza vizuri kipindi cha kwanza na hasa sehemu ya ulinzi ilifanya kazi ya ziada kuokoa mashambulizi ya washambuliaji wa timu ya Misri, na kupelekea...
11 years ago
GPLTAIFA STARS, ZIMBABWE ZAINGIZA MIL 63, LIGU KUU TANZANIA BARA KUANZA AGOSTI 24 MWAKA HUU
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Usiombe kukutana na mabeki hawa
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Stewart alia na mabeki, Cecafa
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amesema safu ya ulinzi ya timu hiyo ilicheza vibaya dhidi ya Simba juzi na kusababisha matokeo ya sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Licha ya sare hiyo, Azam imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 26, Yanga ikifuatia kwa pointi 24, Mtibwa Sugar 23 na Simba ikijikusanyia pointi 22 katika nafasi ya nne.
Akizungumza mara baada ya...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Morocco: Mabeki Simba tatizo
9 years ago
Habarileo30 Oct
Kocha Yanga: Mabeki wametuangusha Sh’nyanga
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, ameitupia lawama safu yake ya ulinzi kwa kusema ilikosa umakini na kusababisha wapinzani wao Mwadui FC kusawazisha bao la pili dakika za mwisho.