Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umaliziaji tatizo Simba

Ubutu wa safu ya ushambuliaji   umeifanya Simba kulazimishwa suluhu na Express katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VITUO VYAHITAJI UMALIZIAJI

Hiki ni kituo cha Afrikana. Hiki ni kituo cha Mbuyuni. Hiki ni kituo kingine ambavyo hiki pamoja na vingine vyote havina paa kwa juu kuzuia…

 

10 years ago

Mwananchi

Morocco: Mabeki Simba tatizo

Kocha wa timu ya Mafunzo, Hemed Morocco amesema kikosi cha Simba kinaendelea kuimarika, hasa safu ya viungo na ushambuliaji huku akidai bado kuna tatizo kubwa katika ulinzi wa pembeni.

 

11 years ago

Mwananchi

MTAZAMO: Kumbukumbu ni tatizo Yanga, Simba

>Mchezo wa soka una nguvu ya kuunganisha watu wa tamaduni tofauti, makabila, rangi na dini kwa sababu ndiyo unaopendwa na watu wengi sehemu mbalimbali duniani.

 

10 years ago

Bongo5

Umaliziaji wako ndio utakaokupa heshima na sio jinsi ulivyoanza

Kuanza vizuri hakuna sifa kubwa kama kumaliza vizuri. Watu wengi huwa tunapenda kuanza kwa mbwembwe na matarumbeta mengi sana lakini tunashindwa kumalizia kila tunachokifanya vizuri. Ukifuatilia historia ya watu wengi ni kwamba walianza vizuri lakini wakashindwa kumalizia vizuri na watu wakawadharau kwa umaliziaji wao mbovu. Haijalishi umeanzaje bali utakavyomalizia itatupa picha wewe ni mtu wa […]

 

11 years ago

GPL

SINA TATIZO NA MAWAZIRI MZIGO NINA TATIZO NA CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. MFUMO wa uongozi serikalini unanitatiza. Kama Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana wanaweza kuwaona mawaziri kadhaa kuwa ni mizigo kabla kiongozi mkuu wa nchi Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama wanachokitumikia Nape na Kinana hajachukua hatua, nahisi kuna tatizo kubwa! Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama...

 

10 years ago

Michuzi

TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tatizo la kutonufaika na madini, tatizo ni viongozi si wawekezaji’

Serikali imetakiwa kusimamia rasilimali za taifa katika hali ambayo itawanufaisha wananchi wote kwani mali hizo ni za wote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani