Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti kuchunguza jinsi mtu anavyozeeka

Wanasayansi mjini London wamegundua utafiti mpya wa kuchunguza utaratibu wa jinsi mtu anavyo zeeka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uyoga unazuia mtu kunenepa :Utafiti

Utafiti nchini Taiwan na Uchina umebaini kuwa uyoga unaweza kutumika kuwasaidia watu kupunguza unene.

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu jinsi haiba ya mtu inavyojengeka tangu akiwa angali mtoto

Tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu linasema “Watu wote ni sawa”. Hii inatufahamisha kuwa sote kama binadamu tuna thamani sawa. Licha ya dhana hii iliyo maarufu ulimwenguni, kuna ukweli usioweza kukatalika, kuwa pia kila mmoja wetu ni mtu binafsi mwenye haiba ya aina yake ya kipekee.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wanasayansi wanakuna vichwa kubaini jinsi mtu wa kwanza alivyopata corona

Huku visa vya maambukizi ya coronavirus vikiendelea kuongezeka nchini China na ulimwengu mzima, harakati za kumtambua binadamu wa kwanza "patient zero" aliyepata ugonjwa huo zinaendelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Hali ya uchumi ya mtu mmojammoja nchini ni mbaya kuliko ilivyokuwa miaka 10 iliyopita

Hivi karibuni, Taasisi ya Repoa ilitoa utafiti wake unaoonyesha kuwa hali ya kiuchumi ya wananchi inazidi kuwa mbaya ikilinganishwa na ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi damu ya mtu aliyepona corona inavyoweza kuwa tiba

Matumaini ni kwamba molekyuli walizozitengeneza zitasaidia kupambana na virusi vilivyo kwa wengine.

 

10 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mtu Chee Ft Jux,Deddy — Mtu Tatu

Rappers wanaounda kundi la Mtu Chee, Stamina, Country Boy na Young Killer wameachia wimbo mpya unaitwa “Mtu Tatu” wamewashirikisha Jux na Deddy Studio Kiri Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani