Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Makampuni yenye mabosi wakali hufanya vibaya zaidi

Unaweza kudhani kumhofia bosi wako kunaweza kukufanya ufanye kazi kwa bidii ili kumfurahia. Lakini utamaduni wa hofu kwenye maeneo ya kazi hupunguza utendaji kazi, utafiti umebaini. Wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye ofisi yenye msimamo mkali hujikuta wakipoteza muda kushughulika na mahitaji na urasimu – ikimaanisha kuwa hawawezi kuzingatia kazi za msingi. Utafiti uliofanywa na Chartered Management […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MASAUNI ATEMBELEA UHAMIAJI, AAGIZA MAKAMPUNI YENYE KUAJIRI WAGENI YACHUNGUZWE

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni (kulia) akimsalimia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile wakati alipowasili Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Katika ziara hiyo, Naibu Waziri Masauni aliiagiza Idara hiyo kuchunguza Makapuni yanayotoa ajira kwa wageni ambapo ajira hizo wangepewa Watanzania wenye sifa na kupunguza tatizo la ajira nchini. Kamishna wa Idara ya Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makampuni ya utafiti yashauriwa kuongeza bidii kupata mbegu bora za kilimo

Na Nathaniel Limu, Singida

MAKAMPUNI yanayojishughulisha na tafiti mbali mbali za nafaka yameshauriwa kuongeza juhudi zaidi ili kupata mbegu bora zitakazowasaidia wakulima kupata chakula cha kutosha na kujikomboa kiuchumi.

Wito huo umetolewa hivi karibuni na Diwani wa Kata ya Mwasauya (CCM) tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida, Seleman Ntandu wakati akizungumza kwenye kilele cha sherehe za wakulima wa kata ya Ikhanoda na Mwasauya.

Amesema ili kilimo kiweze kuwa na tija kwa wakulima hasa...

 

10 years ago

Bongo5

Utafiti: Matangazo ya barabarani yenye wasichana waliovaa kimitego huwachanganya madereva

Matangazo ya barabarani (billboards) yenye picha za wanawake waliovaa nguo za mitego huwachanganya madereva na yanaweza kusababisha ajali, utafiti umesema. Watafiti kwenye chuo kikuu cha Alberta wamebaini kuwa matangazo yenye picha za aina hizo huathiri tabia za uendeshaji. Utafiti huo ulionesha kuwa matangazo ya aina hiyo yana madhara ikiwemo kuhatarisha usalama wa watu, kuongezeka kwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

WATU ZAIDI YA 25 WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA AJALI YA COSTA SENJELE MBEYA.






Baadhi ya majeruhi wakitafuta mizigo yao mara baada ya kutoka ndani ya basi hilo



Baadhi ya majeruhi wakitoka ndani ya basi hilo.Picha na Mbeya yetu














Baadhi ya abilia wakitaka kumpiga Dereva wagari ya aina ya Suzuki kuwa yeye ndio alisababisha ajali hiyo kwa kuyumbayumba kwake barabarani



Moja ya wasamaria wema akiwazuia abiria wenye hasira kali kutaka kumpiga mzee huyo Mwenye Suzuki ambae alijulikana kwa jina moja tu mzee Mtawa

Mwandishi wa habari Kenneth Mwazembeakiwasili katika Hospitali ya...

 

11 years ago

CloudsFM

TALAKA YENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI

Mmiliki wa club ya timu ya AS Monaco inayocheza ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa Dmitry Rybolovlev ambaye pia anashika nafasi ya 148 katika list ya ma billionea wanaotajwa na Forbes Magazine. Yeye pamoja na aliyekua mke wake Elena wamevunja rekodi ktk historia ya fidia za ndoa zilizowahi kuvunjika duniani.
Hiyo ni baada ya mahakama ya Geneva Switzerland hivi karibuni kumuamuru jamaa amlipe mtalaka wake zaidi ya dola bilioni 4.5
Ndoa hiyo ilidumu kwa miaka 23 na waliingia kwenye mchakato...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali kuyabana zaidi makampuni ya simu nchini, kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015!!

DSC_0072

Ofisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prisca Ulomi, akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na Maktaba)

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[TANZANIA] Kasi ya serikali ya awamu ya tano inaonekana kuwa kubwa kwa kuanza kuyabana makampuni ya simu kwa huduma wanazotoa kwa watumiaji wa mitandao hiyo kwa kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015 za sheria ya mawasiliano ya kieletroniki na Posta ya mwaka 2010.

Akizungumzia kanuni hiyo, Msemaji wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kwanini janga la corona limefanya panya kuwa wakali zaidi?

Amri ya kutotoka nje iliyowekwa na nchi tofauti ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona imewalazimisha watu kukaa nyumbani na hotelini pamoja na maeneo mengine ya kula kufungwa.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani