Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Matangazo ya barabarani yenye wasichana waliovaa kimitego huwachanganya madereva

Matangazo ya barabarani (billboards) yenye picha za wanawake waliovaa nguo za mitego huwachanganya madereva na yanaweza kusababisha ajali, utafiti umesema. Watafiti kwenye chuo kikuu cha Alberta wamebaini kuwa matangazo yenye picha za aina hizo huathiri tabia za uendeshaji. Utafiti huo ulionesha kuwa matangazo ya aina hiyo yana madhara ikiwemo kuhatarisha usalama wa watu, kuongezeka kwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAPEWA GARI LA MATANGAZO

Balozi wa Japani nchini, Masaharu Yoshida( katikati) akikata utepe kuzindua gari la maalumu litakalotumika na kikosi cha usalama barabarani katika shughuli za uelimishaji, (kushoto) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani, Naibu kamishina wa Polisi(DCP) Mohamed Mpinga ( kulia )ni Msaidizi wa balozi, Bw Kazioshi. 

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti usaidie kupunguza ajali za barabarani

Takribani watu 300 hupoteza maisha kila mwezi kutokana na ajali za barabarani. Maelfu ya Watanzania wamepata ulemavu na kuziacha familia zao zikiteseka kutokana na ajali za barabarani.

 

11 years ago

GPL

MADEREVA WATWANGANA KWA KUTOELEWANA BARABARANI

Madereva Juma na John wakichapana makonde hadharani. …Akiokota jiwe kumshushia kipigo John aliyedaiwa kutaka kusababisha ajali. Juma (kulia) akirusha matusi…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Haki za Madereva, Abiria na Polisi Barabarani — 3

Katika mfululizo wa uhakiki huu wa kitabu cha Haki za Madereva, Abiria na Polisi Barabarani kilichotungwa na Al-Muswadiku Chamani, tumeangalia utangulizi, mazingira yanayokizunguka kitabu na muhtasari wa kitabu. Sasa endelea…...

 

9 years ago

Bongo5

Utafiti: Makampuni yenye mabosi wakali hufanya vibaya zaidi

Unaweza kudhani kumhofia bosi wako kunaweza kukufanya ufanye kazi kwa bidii ili kumfurahia. Lakini utamaduni wa hofu kwenye maeneo ya kazi hupunguza utendaji kazi, utafiti umebaini. Wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye ofisi yenye msimamo mkali hujikuta wakipoteza muda kushughulika na mahitaji na urasimu – ikimaanisha kuwa hawawezi kuzingatia kazi za msingi. Utafiti uliofanywa na Chartered Management […]

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Madereva huendesha wakiwa walevi

Utafiti uliofanywa na Serikali kuhusu ajali za barabarani umebaini kuwa baadhi ya madereva wa mabasi ya abiria wanaendesha wakiwa wamelewa.

 

11 years ago

GPL

KIMENUKA MORO, MADEREVA DALADALA WAGOMA KUINGIA BARABARANI

MADEREVA wa daladala Manispaa ya Morogoro wamegoma asubuhi hii wakidai kukamatwa hovyo na matrafiki na hakuna daladala linalofanya safari yoyote katika manispaa hiyo. Madereva hao wanadai wameamua kugoma kutokana na kamatakamata ya askari wa usalama barabarani, ambapo wamesema daladala moja kwa siku linaweza kukamatwa hadi mara nne na wakihoji wanaambiwa ni makosa tofauti. Waliongeza kuwa wamepeleka malalamiko yao ngazi...

 

10 years ago

Michuzi

Utii wa Sheria kwa Madereva utapunguza ajali za Barabarani

Madereva hapa nchini wametakiwa kufuata sheria ya matumizi bora ya barabara ili kuepusha madhara yanayosababisha kupoteza maisha ya watu,ulemavu wa kudumu na upotevu wa mali.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani inayofanyika kitaifa mkoani Arusha,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uagizaji wa magari nchini ya Be Forward Tanzania,Daniel Mtaalam amesema njia hiyo ndio suluhu za ajali zinazotokea mara kwa mara.
Amesema wao kama wadau wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani