Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti mashine ya kuchakata katani wakamilika

>Kituo cha Teknolojia ya Mitambo inayojiendesha (TATC), kinachomilikiwa na Shirika la Nyumbu lililo chini ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania kimekamilisha utafiti wake wa kutengeneza mashine ya kuchakata katani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi kituo cha kuchakata gesi Madimba wakamilika

MwananchiMtwara. Kituo cha kuchakata gesi cha Madimba mkoani Mtwara kimekamilika kwa asilimia 97 na kinatarajiwa kuzalisha umeme wa megawati 350 baada ya miezi miwili ijayo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BASHUNGWA AWAAGIZA TEMDO KUTENGENEZA MASHINE ZA KUKAMUA MIWA NA KUCHAKATA ZAO LA MKONGE.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ametoa rai kwa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo Tanzania (TEMDO) kuhakikisha wanawasaidia wajasiliamali wadogo na wa kati kubuni mashine za kutengeneza sukari pamoja na kuchakata katani ili kufungua fursa ya ajira na ongezeko la viwanda nchini.

Mhe. Bashungwa aliyasema hayo mkoani Arusha alipokuwa akizindua mashine 14 za kisasa zinazoendeshwa kwa mfumo wa kompyuta yaani CNC zikiwa na thamani ya shilingi milioni 600 zilizotolewa...

 

5 years ago

Michuzi

UTAFITI WA MASHINE YA KUSAIDIA KUPUMULIA KWA WAGONJWA WA COVID 19 WAENDELEA NA TANALEC


Mwenyekiti wa Mtaa wa Levolosi Seif Abdi akipokea vifaa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimkabidhi Mwenyekiti wa Madereva stand ya Daladala Kilombero vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona huku akifuatiliwa na Meneja msaidizi wa Tanalec Michael Mangowi Leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Sehemu ya msaada uliotolewa na Tanelec Ltd ikiwemo Ndoo 100 za maji Tiririka na Sabuni katoni 100 ikiwa ni kwa ajili ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’

jaji-lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUMNYANG’ANYA SHAMBA MUWEKEZAJI WA KATANI TANGA


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali imekusudia kumnyanga’anya shamba la mkonge la Kwashemshi Sisal Estate lililopo kata ya Kwashemshi wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga kwa kusababisha migogoro kwa wakazi wa eneo hilo na kukiuka masharti ya uendelezaji.
Waziri Lukuvi ameyasema hayo wakati akizungumza na wakazi wa eneo hilo pamoja na wamiliki wa shamba hilo la Kwashemshi Sisal Estate mara baada ya kukagua miundombinu ya shamba hilo ambayo imeonekana...

 

9 years ago

Mwananchi

Ajinyonga kwa katani baada ya kunyang’anywa mke

Mkazi wa kitongoji cha Mihuru, kijiji cha Kitarungu wilayani Serengeti, Mara amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kukosa ng’ombe wa kulipa mahari.

 

10 years ago

Michuzi

DIWANI MATHIUS WA KATA YA MALANGARINI AFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI KATANI KWAKE

Diwani wa kata ya Mlangarini, Mhe Mathius Manga,  akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili ya kuwachagua viongozi wa  serikali za mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.
Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza. 
Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi cote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YATOA BILION MOJA KUWEZESHA WAKULIMA WA KATANI KUPATA MATREKTA



Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa moja ya matrekta hayo  Greyson Nyari, Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge  Mkoa wa Tanga kwenye shamba la mkonge la wakulima wadogo wadogo la  'Mwelya Sisal Estate' la Korogwe. Katikati ni  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara - Filbert Mponzi.
Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa akikabidhi mkopo uliotolewa kwa mkopo na Benki ya NMB wa matrekta  11 na matrela  yake 22 yenye thamani ya sh. Bilioni  moja, kwa Vyama Vinne vya ushirika vya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA KAMATI ALIYOIUNDA YA KUCHUNGUZA ZAO LA KATANI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali katika tasnia ya kilimo cha mkonge mkoani Tanga na kuagiza mapendekezo yaliyotolewa na timu hiyo yakiwemo ya kurejeshwa Serikalini kwa nyumba na. 176 eneo la Bombo ambayo ilimilikishwa kwa Bw. Salum Shamte yafanyiwe kazi.
Nyumba nyingine zilizopendekezwa kurejeshwa Serikalini ni pamoja na nyumba kumi zilizoko ndani ya Jiji la Tanga katika maeneo ya Raskazone, Bombo, Nguvumali na Market street ambazo zilinunuliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani