SERIKALI KUMNYANG’ANYA SHAMBA MUWEKEZAJI WA KATANI TANGA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali imekusudia kumnyanga’anya shamba la mkonge la Kwashemshi Sisal Estate lililopo kata ya Kwashemshi wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga kwa kusababisha migogoro kwa wakazi wa eneo hilo na kukiuka masharti ya uendelezaji.
Waziri Lukuvi ameyasema hayo wakati akizungumza na wakazi wa eneo hilo pamoja na wamiliki wa shamba hilo la Kwashemshi Sisal Estate mara baada ya kukagua miundombinu ya shamba hilo ambayo imeonekana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Jan
Serikali kunyang’anya vitalu vilivyohodhiwa
SERIKALI imesema itawapatia wachimbaji wadogo wa madini maeneo ambayo yamehodhiwa na baadhi ya matajiri bila kuendelezwa.
9 years ago
MichuziSERIKALI KUNYANG’ANYA VITALU VYA MADINI VILIVYOHODHIWA.
11 years ago
Mwananchi30 May
Serikali yatishia kuwanyang’anya leseni wachimbaji madini
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Serikali yaamuru waliovamia shamba la Sumaye waondoke
10 years ago
Vijimambo16 Dec
SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO
Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
Serikali ya kijiji Ruvu yadaiwa kuuza shamba kinyemela
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani
WANANCHI wa kitongoji cha Ruvu darajani, wilayani Bagamoyo, wameilalamikia serikali ya muda ya kitongoji cha Ruvu, kata ya Vigwaza, kwa kuuza shamba la ekari 10 mali ya kijiji.
Imeelezwa kuwa shamba hilo limeuzwa kwa maslahi binafsi na bila kuwashirikisha wana kijiji.
Mwana kijiji, Athumani Mkali, alisema uongozi wa muda wa kijiji cha Ruvu kuuza eneo hilo ni batili. “ Ukizingatia pia baadhi ya wananchi wengi hawana maeneo ya makazi na mashamba, leo eneo linauzwa kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nBlS0z1Ke58/U5a6NNLO4gI/AAAAAAAFpeM/M8nvwMaI8AU/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali atembelea shamba la mkuu wa wilaya ya mvomero
![](http://2.bp.blogspot.com/-nBlS0z1Ke58/U5a6NNLO4gI/AAAAAAAFpeM/M8nvwMaI8AU/s1600/unnamed+(28).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-7V1bDMru5VM/U5a6NIhvgEI/AAAAAAAFpfE/qjsH1Udelo4/s1600/unnamed+(29).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QhD7_sBdeu0/VSv4WdWjFFI/AAAAAAAHQ_U/_cTQr5K96-8/s72-c/899.jpg)
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAHAKIKISHIA WAFANYAKAZI WA SHAMBA LA MPIRA KICHWELE KULIPWA MISHAHARA YAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-QhD7_sBdeu0/VSv4WdWjFFI/AAAAAAAHQ_U/_cTQr5K96-8/s1600/899.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fV3IW8s_SMA/VSv4VAob2GI/AAAAAAAHQ_E/umYJ8miH2F8/s1600/887.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-h3V4AVObwrQ/VSv4VDNDyfI/AAAAAAAHQ_A/Gai7gKoZQBc/s1600/891.jpg)
10 years ago
Habarileo25 Dec
Shamba apatikana na zao la ‘shamba’
SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.