Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kunyang’anya vitalu vilivyohodhiwa

SERIKALI imesema itawapatia wachimbaji wadogo wa madini maeneo ambayo yamehodhiwa na baadhi ya matajiri bila kuendelezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUNYANG’ANYA VITALU VYA MADINI VILIVYOHODHIWA.

Mmiliki wa kiwanda cha uongezaji thamani madini ya jasi kilichopo mkoani Singida, Emmanuel Shilla akimuonesha Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kushoto) moja ya bidhaa za urembo wa ndani ya nyumba unaotengenezwa kutokana na madini ya jasi yanayopatikana mkoani Singida.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kushoto) akitazama jinsi madini ya jasi yanavyotumika kutengeneza vitu mbalimbali ikiwemo urembo wa ndani ya nyumba mara...

 

9 years ago

Mwananchi

Mchakato wa kunyang’anya mashamba, viwanja waanza

Mchakato wa kunyang’anya mashamba na viwanda kutoka kwa wamiliki walioshindwa kutekeleza masharti waliyopewa na Serikali umeanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yatishia kuwanyang’anya leseni wachimbaji madini

Serikali imerudia kauli yake bungeni kuwa iko tayari kuwanyang’anya leseni za madini wachimbaji wakubwa ambao wameshindwa kuendeleza maeneo yao.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUMNYANG’ANYA SHAMBA MUWEKEZAJI WA KATANI TANGA


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali imekusudia kumnyanga’anya shamba la mkonge la Kwashemshi Sisal Estate lililopo kata ya Kwashemshi wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga kwa kusababisha migogoro kwa wakazi wa eneo hilo na kukiuka masharti ya uendelezaji.
Waziri Lukuvi ameyasema hayo wakati akizungumza na wakazi wa eneo hilo pamoja na wamiliki wa shamba hilo la Kwashemshi Sisal Estate mara baada ya kukagua miundombinu ya shamba hilo ambayo imeonekana...

 

11 years ago

Mwananchi

Zabuni za vitalu kufungwa Mei-Waziri

Serikali imesema zabuni ya vitalu vya utafiti wa mafuta na gesi asilia vilivyo bahari kuu na ziwa Tanganyika Kaskazini, itafungwa Mei 15, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji vitalu vya uwindaji apigwa ‘stop’

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, limewakataa mwekezaji, Shen na wenzake Wembele Hunting Safaris wanaofanya kazi za uwindaji katika pori la misitu ya hifadhi iliyoko...

 

10 years ago

Habarileo

Vitalu vya uwindaji wa kitalii mwisho 2018

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduMAMLAKA ya wanyamapori nchini inatarajia kusitisha umiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, ifikapo mwaka 2018, jambo litakalosaidia mamlaka hiyo kumiliki mapori yote ya akiba na kuwa na uwezo wa kubadilisha sera ya matumizi ya mapori hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania wahimizwa kuomba vitalu vya mifugo

SERIKALI imewataka Watanzania kuwa mashujaa wa kuomba vitalu vya uwekezaji katika mashamba ya mifugo vinapotangazwa badala ya kuwaachia watu kutoka nje. Aidha, Wizara ya Fedha imesema itatoa Sh bilioni 10.5 kati ya takribani Sh bilioni 20 zilizosalia ambazo zilitengwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ili kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Wachimbaji wadogo Singida watengewa vitalu 10,800

WIZARA ya Nishati na Madini imetenga zaidi ya vitalu 10,800 kwa ajili ya wachimbaji madini wadogo mkoani Singida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani