Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zabuni za vitalu kufungwa Mei-Waziri

Serikali imesema zabuni ya vitalu vya utafiti wa mafuta na gesi asilia vilivyo bahari kuu na ziwa Tanganyika Kaskazini, itafungwa Mei 15, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SHULE, VYUO KUENDELEA KUFUNGWA, SHEREHE ZA MEI MOSI, MUUNGANO ZAAHIRISHWA KUTOKANA NA BALAA LA CORONA

MKUU Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu litaendelea kubaki vile vile hadi hapo Serikali itakapotoa tamko jingine.
Pia, Waziri Mkuu amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesitisha maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi (Aprili 26) pamoja na Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ili kuepuka msongamano na kuendelea kuzuia virusi vya corona visisambae zaidi. 
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili...

 

11 years ago

GPL

TAARIFA RASMI YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED YENYE KUJIBU MAELEZO YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO KUHUSU HODHI YA VITALU

Reginal Mengi. Baada ya Mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara ((TNBC) uliofanyika tarehe 16 Desemba 2013, chini ya uenyekiti wa Mhe. Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, sikutegemea kwamba Mhe. Profesa Muhongo angeendeleza mashambulizi dhidi yangu kwa sababu katika mkutano huo ambao ulikuwa na mafanikio makubwa tulifikia maamuzi ya kudumisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta Binafsi, kitu ambacho nimekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNALD MEMBE KWA MGENI RASMI TAMASHA LA QASWIDA MEI 25

Q1Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa,ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Bernard Membe kuwa mgeni rasmi tamasha la Qaswida Mei 25

Q1

Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe.Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia saa saba mchana, Kulia ni Sheikh Muharami Pembe na kushoto ni Ustaadhi...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AAGIZA WADAIWA WOTE NHC WALIPE MADENI KABLA YA MEI 30

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) uwaandikie barua wapangaji wote wanaodaiwa kodi na shirika hilo na wahakikishe zimelipwa ifikapo Mei 30, mwaka huu.

“Orodha ya wadaiwa niliyonayo hapa ni kubwa na wengine inaonesha wamehama na wameondoka bila kumalizia kodi zao. Hawa wote ni lazima tuwafuatilie na walipe madeni yao,” amesema.

Ametoa agizo hilo leo (Jumanne, Februari 11, 2020) wakati akizungumza na viongozi na wajumbe wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA MEI MOSI, MOROGORO

 Wanamichezo wa Ofisi ya Waziri Mkuu wanaoshiriki katika Mashindano ya Mei Mosi Mjini Morogoro, wakipita mbele ya mgeni Rasmi, Mkuu wa mkoa wa  Morogoro Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati wa Ufunguzi wa mashindano hayo jana. Washiriki wa Mashindano hayo ni Wizara, Idara na Taasisi za Serikali zinazojitegemea.

 Kikosi kabambe cha  Mpira  wa miguu cha  Ofisi ya Waziri Mkuu inayoshiriki katika Mashindano ya Mei mosi yanayoendelea mjini Morogoro.    Timu ya kamba Wanawake ya Ofisi ya...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kunyang’anya vitalu vilivyohodhiwa

SERIKALI imesema itawapatia wachimbaji wadogo wa madini maeneo ambayo yamehodhiwa na baadhi ya matajiri bila kuendelezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Wachimbaji wadogo Singida watengewa vitalu 10,800

WIZARA ya Nishati na Madini imetenga zaidi ya vitalu 10,800 kwa ajili ya wachimbaji madini wadogo mkoani Singida.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji vitalu vya uwindaji apigwa ‘stop’

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, limewakataa mwekezaji, Shen na wenzake Wembele Hunting Safaris wanaofanya kazi za uwindaji katika pori la misitu ya hifadhi iliyoko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani