Utafiti: Uchafuzi wa hewa ni hatari kuliko uvutaji sigara?
Utafiti mpya unakadiriwa kuwa uchafuzi wa hali ya hewa inapunguza miaka mtatu ya umri wa kuishi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Sigara za Kielektroniki hatari:Utafiti
Watafiti wa afya kutoka Marekani wameonya matumizi ya sigara za kielektroniki zilizoandaliwa zinaweza kuwa na madhara.
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Utafiti waonesha hatari ya sigara, China
Utafiti mpya umeonya kuwa sigara ina uwezo wa kuua kijana mmoja kati ya vijana watatu nchini China.
11 years ago
KwanzaJamii01 Jun
Zijue athari za uvutaji sigara
Miongoni mwa athari za tumbaku ni saratani ya koo na mapafu, kuziba kwa mishipa midogo ya damu, kupungua nguvu za kiume, kuwa na ukurutu, saratani ya kizazi, mimba kuharibika, vidonda vya tumbo na matatizo ya kusikia.
Athari nyingine ni vidole, meno na mdomo kubadilika rangi, ngozi kukunjamana, matatizo ya mapafu, mifupa na moyo.
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa karibu watu milioni sita hufa duniani kila mwaka kutokana na athari za matumizi ya tumbaku.
Kati ya...
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Uvutaji sigara waharamishwa Lagos
Wabunge mjini Lagos, wamepitisha sheria inayoharamisha uvutaji sigara katika maeneo ya umma, ikiwemo mikahawani na katika maeneo ya usafiri wa umma.
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Uvutaji sigara unawaathiri watoto
Marufuku ya uvutaji sigara katika maeneo ya umma imepunguza idadi ya wanawake wanaojifungua mapema
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Marufuku uvutaji sigara China
Serikali ya China imepiga marufuku uvutaji wa sigara katika mji mkuu Beijing
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Uvutaji sigara wa mumewe wampa mabilioni
Kampuni ya utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mjane mmoja.
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Jack Wilshere ajutia uvutaji sigara.
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere ajutia kitendo cha uvutaji sigara.
11 years ago
Mwananchi30 May
Serikali ipige marufuku uvutaji sigara hadharani
Kesho ni siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani. Hii ni kutokana na athari zake za kiafya kwa wanaotumia na hata wale walio karibu na watumiaji.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania