Utafiti:Tarakilishi husababisha matokeo mabaya shuleni
Ripoti mpya kutoka shirika la OECD inasema kuwekeza kwenye kompyuta mashuleni hakuleti kiwango kikubwa cha mabadiliko ya matokeo kwa wanafunzi darasani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Oct
Utafiti:Viagra husababisha upofu.
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo…
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, Chelsea wameendelea kuwa na bahati mbaya baada ya kuendelea kupata matokea mabaya mfululizo. Kilichonifikia leo ni kuhusu kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho kufutwa kazi baada ya kuendelea na matokeo mabaya mfululizo…uamuazi huo unaufanya uongozi wa klabu hiyo kumlipa kiasi cha pauni milioni 40 kama sehemu ya mkataba wake. […]
The post Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo… appeared first on...
9 years ago
Bongo517 Nov
Fabregas hajui nini tatizo katika klabu yake Chelsea kuhusu matokeo mabaya
![Fabregas](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Fabregas-300x194.jpg)
Kiungo Cesc Fabregas wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania ameelezea hasira kutokana na matokeo duni ya klabu ya Chelsea msimu huu kwao umekua mbaya sana na kwamba hajui nini kinaenda vibaya katika kikosi hicho cha kocha Jose Mourinho.
Akiongea kwa uchungu sana na Gazeti la kihispania Marca., Cesc ameonesha kukasirishwa sana na jinsi msimu unavyoenda huku akisema matokeo hayawatendei haki kwani wanacheza vizuri kuliko matokeo wanayopata uwanjani.
”Kwa hakika sifahamu ninikimetusibu msimu...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Wadau wa elimu wayazungumzia matokeo ya utafiti wa Uwezo
9 years ago
MichuziCHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKUBALI MATOKEO YA UTAFITI WA TWAWEZA
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Twaweza yatoa matokeo ya utafiti juu ya Uchaguzi nchini 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Bw. Aidan Eyakuze.(Picha na Maktaba).
Na Ally Daud-MAELEZO.
Taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza imetoa matokeo ya utafiti uliyofanywa juu ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio kinachopendwa na wananchi kuliko chama kingine cha siasa hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Bw. Aidan Eyakuze alisema katika utafiti...
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-27May2015.jpg)
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...