Utendaji kwa viongozi wazidi kuporomoka
Kiwango cha kukubalika kwa utendaji kazi wa baadhi ya viongozi wa kisiasa nchini kimeshuka, ripoti ya utafiti ya taasisi ya Twaweza iliyotolewa jana imesema.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 May
Uzalishaji wa sukari wazidi kuporomoka
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-kvaB8NyngNM/UwtSapZhYfI/AAAAAAAFPQo/aFes58qOeUg/s72-c/unnamed+(23).jpg)
Viongozi wapya wa Ikulu SACCOS Wakabidhi Ripoty ya Utendaji kwa Katibu mkuu kiongozi
![](http://1.bp.blogspot.com/-kvaB8NyngNM/UwtSapZhYfI/AAAAAAAFPQo/aFes58qOeUg/s1600/unnamed+(23).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-AMigncMpgxU/UwtSaij3VOI/AAAAAAAFPQk/6_UCfKMK1wM/s1600/unnamed+(22).jpg)
11 years ago
MichuziVIONGOZI KUTOKA SEHEMU NCHI MBALIMBALI WAZIDI KUMIMINIKA KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MUUNGANO
9 years ago
Mtanzania15 Aug
Viongozi wazidi kuhama CCM
Safina Sarwatt (Kilimanjaro) na Eliya Mbonea (Monduli)
IDADI ya viongozi wanaohama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imezidi kuongezeka na jana Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Matemu pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho, Fredrick Mushi, walitangaza kuchukua uamuzi huo, wakifuata nyayo za Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Jana hiyo hiyo mabalozi 110 wa nyumba 10, makatibu wa tawi wanne, wajumbe...
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Viongozi CCM wazidi kuvurugana urais mwaka 2015
10 years ago
MichuziUJUMBE WA VIONGOZI WA SUDAN KUSINI WAVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA TANROADS
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Sarafu ya 500/- ni kuporomoka kwa shilingi?
TAKRIBANI wiki mbili zimepita tangu sarafu ya sh. 500 zilipoingia kwenye mzunguko wa fedha na kuanza kutumika baada ya mchakato wa kubadilisha fedha hizo kutoka kwenye noti kwenda kwenye sarafu...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Viongozi wa UKAWA Lyamgungwe wadai kuvutiwa na utendaji wa Mbunge Mgimwa Kalenga wajiunga CCM
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa Chadema kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCM.
Na MatukiodaimaBlog
VIONGOZI watatu wa vyama vinavyounda katiba ya wananchi (UKAWA) kata ya Lyamgungwe jimbo la kalenga wamempongeza mbunge wa jimbo la hilo Godfrey Mgimwa kwa kutekeleza ahadi mbali mbali zilizoachwa na marehemu mbunge aliyepita Dr Wiliam Mgimwa kwa muda mfupi na kuwa katika kuonyesha umoja wao...