Uzalishaji wa sukari wazidi kuporomoka
Dar es Salaam. Wadau wa viwanda vya sukari nchini wameitupia Serikali lawama kwa kushindwa kuisimamia sekta hiyo na kusababisha uzalishaji kushuka kwa asilimia 20 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Sababu za uzalishaji korosho kuporomoka mkoani Mtwara
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Utendaji kwa viongozi wazidi kuporomoka
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Hujuma uzalishaji sukari
TANI 158 za sukari zimeozea kwenye ghala la kiwanda cha sukari Kilombero mkoani Morogoro mwaka jana huku tani 40,000 zikishindwa kuuzika kutokana na kuendelea kuingizwa kwa sukari kutoka nje ya...
11 years ago
Habarileo09 Jan
Uzalishaji wa sukari kuongezeka mwakani
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika , Mhandisi Christopher Chiza , amesema katika kutekeleza Mpango wa Matokea Makubwa Sasa (BRN), Serikali imeweka malengo ya kuongeza uzalishaji wa sukari kutoka tani 300,000 kwa mwaka hadi kufikia 450,000 ifikapo 2015/2016.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6W3f9sVUsYg/Vl7zsvaNifI/AAAAAAAAJQs/Y3qkppXxhmc/s72-c/Sukari%2B1.jpg)
RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje
![](http://1.bp.blogspot.com/-6W3f9sVUsYg/Vl7zsvaNifI/AAAAAAAAJQs/Y3qkppXxhmc/s640/Sukari%2B1.jpg)
Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Libya yahofia kuporomoka
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Hisa za China zazidi kuporomoka
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka
9 years ago
BBCSwahili06 Sep
Mafuta kuporomoka yaumiza Saudi Arabia