Uzalishaji wa sukari kuongezeka mwakani
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika , Mhandisi Christopher Chiza , amesema katika kutekeleza Mpango wa Matokea Makubwa Sasa (BRN), Serikali imeweka malengo ya kuongeza uzalishaji wa sukari kutoka tani 300,000 kwa mwaka hadi kufikia 450,000 ifikapo 2015/2016.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Hujuma uzalishaji sukari
TANI 158 za sukari zimeozea kwenye ghala la kiwanda cha sukari Kilombero mkoani Morogoro mwaka jana huku tani 40,000 zikishindwa kuuzika kutokana na kuendelea kuingizwa kwa sukari kutoka nje ya...
10 years ago
Mwananchi17 May
Uzalishaji wa sukari wazidi kuporomoka
9 years ago
Michuzi
RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje

Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Vifo vinavyotokana na nyoka kuongezeka?
11 years ago
Habarileo20 Mar
Wanafunzi wanaopata mikopo kuongezeka
IDADI ya wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESB) inatarajiwa kuongezeka, mfumo mpya wa gharama halisi kwa wanafunzi utakapoanza mwaka ujao wa fedha.
11 years ago
Habarileo05 Sep
Waziri - Ziada ya chakula kuongezeka
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema ziada ya chakula kwa msimu wa mwaka huu inatarajiwa kuongezeka zaidi kutokana na matumizi ya zana bora za kilimo.
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
REA: Upatikanaji wa umeme kuongezeka
Na Mwandishi Wetu
KIWANGO cha upatikanaji wa nishati ya umeme kinatarajiwa kupanda hadi asilimia 100 ifikapo mwaka 2030, umesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Meneja Utaalamu Elekezi wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, alisema hayo alipomwakilisha Mkurugenzi wa REA katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wataalamu na wajasiriamali wa usambazaji vifaa vya umeme (nishati) itokanayo na mionzi ya jua.
Katika mafunzo hayo yanayomalizika leo katika Hoteli ya Kebis jijini Dar es Salaam,...
11 years ago
Mwananchi16 Oct
Wanawake wazidi kuongezeka nchini
9 years ago
Habarileo12 Dec
Makontena yaliyokwepa kodi yazidi kuongezeka
MAKONTENA yaliyotolewa bila kulipa ushuru katika bandari ya Dar es Salaam yamezidi kuongezeka tangu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipobaini kutoroshwa kwa makontena 2,431 katika bandari hiyo bila kulipa ushuru. Jana Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Suleiman Kova, alipozungumza na waandishi wa habari, alitaja idadi mpya ya makontena hayo iliyobainika katika uchunguzi unaoendelea, yamefikia 2,489, sawa na ongezeko la makontena mapya 58.