Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uteuzi kutoka Ikulu

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Kissiok Ole Mbille Lukumay kuwa Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma.

Aidha, Rais Kikwete amemteua Bwana Onesmo Hamis Makombe kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Biashara ya Fedha Haramu.

Taarifa iliyotolewa usiku wa jana, Alhamisi, mjini Dar es Salaan na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa maofisa hao wawili ulianza Ijumaa ya Machi 27,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Uteuzi wafanyika Ikulu

RAIS Jakaya Kikwete amewateua wasaidizi wake wawili akiwemo aliyewahi kuwa Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa CCM(UVCCM), Martine Shigela ambaye anakuwa msaidizi wa Rais (Siasa).

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yawajia juu wanaobeza uteuzi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.MJADALA kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri jipya lililotangazwa karibuni hauna maana na ni kupoteza muda, imeelezwa.

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA,WOTE KUAPISHWA KESHO IKULU JIJINI DAR ES DALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa Rasmi Kwa Umma Kutoka IKULU

Rais Jakaya Kikwete--- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, ameanza kazi rasmi baada ya afya yake kuimarika kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita.
Mhe. Rais ameanza kazi rasmi kwa kumwapisha Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Daudi Felix Ntibenda katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam.

Kwa kuanzia Mhe. Rais atakuwa anafanya kazi za ofisini na kwa muda mchache. Muda na kasi ya kufanya kazi ya Mhe....

 

11 years ago

GPL

UFAFANUZI KUTOKA IKULU KUHUSU TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

Gazeti la Raia Mwema lililotoka leo, Jumanne, Aprili 2, 2014, limeandika habari zisizokuwa za kweli chini ya kichwa cha habari : “Warioba: Ikulu imetutupia virago”. Habari hiyo inamkariri aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mheshimiwa Jaji Joseph Warioba akidai kuwa Tume yake ilifukuzwa kazi, kwamba haikupewa muda wa kuandaa na kuwasilisha nyaraka za kukabidhi ofisi na madaraka na kwamba wajumbe wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne Ikulu, Dar es salaam. Katika mzungumzo yao wamezungumzia mambo mbalimbali kuhusu mustakabali wa Serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa na kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu Gerson Msigwa alisema yaliyojiri katika Mazungumzo […]

The post Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4… appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Kilichonifikia kutoka Ikulu ni kuhusu kuapishwa kwa Makatibu wakuu..

Jana Rais John Magufuli alitangaza makatibu wakuu na manaibu wake wapya katika Wizara mbalimbali. Ikiwa ni siku moja tangu atangaze, Rais kesho Januari 1 anatarajia kuwaapisha rasmi katika viwanja vya Ikulu, Dar es salaam kisha kusaini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma. Katika taarifa ya Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue imesema zoezi […]

The post Kilichonifikia kutoka Ikulu ni kuhusu kuapishwa kwa Makatibu wakuu.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

JK apokea hati za utambulisho ikulu kutoka kwa mabalozi wanne

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa.Mabalozi waliowasilisha hati zao leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Balozi Ismail Salem wa Malaysia,Balozi Georges Aboua wa Cote d’Ivore, Balozi Thony Fred Balza Arismendi wa Venezuela na Balozi Ahmat Awad Sakine wa Chad.Pchani mabalozi hao wakiwasilisha hati zao kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Huku Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma(Katikati)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani