Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uteuzi wa Makonda wawa gumzo kila kona mitandaoni, mitaani

MAKONDA1

Na Andrew Chale wa modewji blog

Ikiwa ni siku moja tu tangu kutangazwa kwa wakuu wapya wa Wilaya mbalimbali za Tanzania Bara, Uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ikiwemo kumteua kada wa Chama cha Mapinduzi anayetokea Jumuiya ya Vijana (UVCCM), Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,  watanzania wengi wamebeza uteuzi huo huku wengine wakiunga  mkono.

Modewji blog  iliweza kuongea na watu mbalimbali juu ya maoni yao kufuatia uteuzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kamari za soka gumzo kila kona Dar

>Ni dhahiri sasa michezo ya kubahatisha hapa nchini imeshika kasi kutokana na ongezeko la vituo vya kamari ya soka maarufu kama ‘kubeti’.

 

9 years ago

Dewji Blog

Karibu Music Festival 2015 yaacha gumzo Bagamoyo, Wananchi,Wasanii walipongeza kila kona!

DSC_1426

Wapiga vyombo wa Salabi Band kutoka Kenya wakishambulia jukwaa  usiku wa kuamkia leo Novemba 9, wakati wa kufunga tamasha la Muziki la Karibu Music Festival 2015, katika viwanja vya Mwanakalenge ambalo kwa mwaka huu ni la msimu wa pili. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[BAGAMOYO-TANZANIA] Tamasha la mziki wenye vionjo mbalimbali ikiwemo vile vya ngoma ya asili, utamaduni na kisasa ambalo pia linashirikisha wasanii kutoka ndani ya Tanzania na nje ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono

Lowassa_Babati2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_Babati1

Lowassa_hotuba Manyara

Lowassa_Daniel Opurukwa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli gumzo mitandaoni Kenya.

MAGUFULI+PHOTO+KochiNAIROBI, KENYA

KATIKA siku chache zilizopita, Rais   Dk. John  Magufuli amekuwa akitamba kwenye mitandao ya jamii nchini Kenya.

Habari zinasema  wananchi wengi wazalendo wameonekana kuvutiwa na uchapakazi wake ndani ya wiki kadhaa tangu aliposhika madaraka.

Dk. Magufuli ameonyesha kutekeleza  kaulimbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’ ambayo sasa  inafananishwa na ile ya ‘Kusema na Kutenda’ ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

Kauli hiyo ya Kenyatta,  Wakenya wameibadilisha kuwa ‘Kusema na Kutema’...

 

10 years ago

Vijimambo

Muonekano wa Lulu 2015 Wawa Gumzo, Midume yasema Anazidi Kuwa Mtamu Kama Mcharo

Lulu Michael Mrembo wa Bongo Flava amezidi mwagiwa sifa Kede kede mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo anakabiliwa na kesi ya........mauaji ya bila kukusudia ya marehemu Kanumba , Watu wamempa sifa na kusema toka atoke mahabusu kwa dhamana amezidi kuwa mrembo zaidi..Wapo wanaotania na kusema amezidi kuwa Mtamu kama Mcharo!!!!

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni

Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’.

Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’.

Lakini  yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na...

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Gumzo la mwanamke anapokuwa kwenye hedhi limerudi tena mitandaoni

India wanafunzi wa chuo wamelazimishwa kuvua nguo zote kukaguliwa kama wako kwenye hedhi au la

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani