Magufuli gumzo mitandaoni Kenya.
NAIROBI, KENYA
KATIKA siku chache zilizopita, Rais Dk. John Magufuli amekuwa akitamba kwenye mitandao ya jamii nchini Kenya.
Habari zinasema wananchi wengi wazalendo wameonekana kuvutiwa na uchapakazi wake ndani ya wiki kadhaa tangu aliposhika madaraka.
Dk. Magufuli ameonyesha kutekeleza kaulimbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’ ambayo sasa inafananishwa na ile ya ‘Kusema na Kutenda’ ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
Kauli hiyo ya Kenyatta, Wakenya wameibadilisha kuwa ‘Kusema na Kutema’...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 May
Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni
Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’.
Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’.
Lakini yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na...
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Uteuzi wa Makonda wawa gumzo kila kona mitandaoni, mitaani
Na Andrew Chale wa modewji blog
Ikiwa ni siku moja tu tangu kutangazwa kwa wakuu wapya wa Wilaya mbalimbali za Tanzania Bara, Uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ikiwemo kumteua kada wa Chama cha Mapinduzi anayetokea Jumuiya ya Vijana (UVCCM), Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, watanzania wengi wamebeza uteuzi huo huku wengine wakiunga mkono.
Modewji blog iliweza kuongea na watu mbalimbali juu ya maoni yao kufuatia uteuzi...
5 years ago
BBCSwahili18 Feb
India: Gumzo la mwanamke anapokuwa kwenye hedhi limerudi tena mitandaoni
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65BIVSOjdtqzp4BkyTJrjpgN4mcbrI7NCuZX1KCOXfGAQywfbenpg5vTSy2M8rU49RNOEPTwQ1IaDtXofKYb8mI/Jokate.gif?width=650)
MAHABA YA JOKATE, KIBA GUMZO KENYA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXVQ5DuD1Qace9dDRPZtINoNG22-WYX83HqDgiupkHqnpoqNecrgirS0f8wnmXHo29ODi1eqyT1URYlkPvXSjDCk/3.jpg?width=650)
MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-heRTGBxvEtQ/VgGR6SqlQZI/AAAAAAAA6MU/B6XBHyc-bKg/s72-c/0P0A9624.jpg)
PUSH UP ZA DK MAGUFULI ZAWA GUMZO NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-heRTGBxvEtQ/VgGR6SqlQZI/AAAAAAAA6MU/B6XBHyc-bKg/s1600/0P0A9624.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1UB3HM059b4/VgGR65-SADI/AAAAAAAA6MY/0IBb4ZjK9tU/s1600/0P0A9625.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-zzZeVVRJfIc/VgGR6DUECTI/AAAAAAAA6MQ/n6wBUuXno5I/s1600/0P0A9630.jpg)
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Rais Magufuli aibua gumzo la ushabiki wake kati ya Simba na Yanga
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k2NcSvwfzUQ/XrEbYFtC7jI/AAAAAAALpLc/RiqFvNh4OhcpnF1cITliB1aXbCYw7jlmACLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot%2B2020-05-05%2Bat%2B9.55.49%2BAM.png)
RAIS MAGUFULI AWA GUMZO KILA PEMBE YA DUNIA, MSIMAMO WAKE KUHUSU CORONA WAKUNA WENGI
9 years ago
TheCitizen17 Dec
WHAT OTHERS SAY: Tanzania’s Magufuli, lessons for Kenya