Uteuzi wa Sumaye Hanang gumzo
SHEREHE za kumsimika Waziri Mkuu, mstaafu Fredrick Sumaye, aliyechaguliwa kuwa Kamanda wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Hanang, zimeota mbawa. Sherehe hizo zilizopangwa kufanyika Oktoba 18, zimeahirishwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen05 Oct
Vote wisely, Sumaye tells Hanang residents
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Uteuzi wa Makonda wawa gumzo kila kona mitandaoni, mitaani
Na Andrew Chale wa modewji blog
Ikiwa ni siku moja tu tangu kutangazwa kwa wakuu wapya wa Wilaya mbalimbali za Tanzania Bara, Uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ikiwemo kumteua kada wa Chama cha Mapinduzi anayetokea Jumuiya ya Vijana (UVCCM), Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, watanzania wengi wamebeza uteuzi huo huku wengine wakiunga mkono.
Modewji blog iliweza kuongea na watu mbalimbali juu ya maoni yao kufuatia uteuzi...
11 years ago
Mwananchi29 May
Kinana awashukia wawekezaji Hanang’
9 years ago
TheCitizen27 Dec
Hanang farmers claim more estates
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Hanang walia gharama za viwanja
WAKAZI wa Hanang mkoa hapa, wamelalamikia ughari wa bei ya viwanja vya makazi na biashara wilayani humo. Ukubwa wa bei hizo za viwanja, umebainishwa mwishoni mwa wiki na baadhi ya...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Hanang’ wakosa maji safi
WANANCHI zaidi ya 3,000 wa Kijiji cha Hedet, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, kwa zaidi ya miaka miwili sasa hawana huduma ya maji safi na salama kutokana na baadhi yao...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
125 waiva kwa Umisseta Hanang’
WANAFUNZI 125 wa michezo ya riadha, soka, pete na wavu, kutoka shule za sekondari Wilaya ya Hanang’, wanatarajia kushiriki mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (Umisseta), mkoani...
9 years ago
TheCitizen04 Jan
Future looks bleak for Hanang livestock farmers
11 years ago
TheCitizen30 Jul
Shock as child is beaten to death in Hanang