Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTOAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA TEMEKE JIJINI DAR

Baadhi ya wananchi wa kata ya Makangarawe, Manispaa ya Temeke, Dar wakisubiri zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya taifa leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Utoaji vitambulisho vya Taifa wakamilika Dar, Zanzibar

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa NIDA, Thomas WilliamKAZI ya kuandikisha na kutoa vitambulisho vya Taifa, imekamilika Zanzibar na mkoa wa Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AAGIZA UMAKINI UFANYIKE UTOAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA.

Na Editha Karlo,Kigoma.
WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema ameagiza umakini ufanyike katika utoaji wa vitambulisho vya Taifa hususani katika Mikoa iliyopo mipakani ili kuimarisha usalama wa nchi.

Majaliwa ameyasema hayo leo wakati akiongea na wajumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu chama cha mapinduzi(CCM)ya Mkoa wa Kigoma akiwa kwenye sikubya kwanza ya ziara yake amesema kumekuwepo na malalamiko ya wananchi wanaofuatilia vitambulisho vya Taifa wanadaiwa siyo raia wa Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana azindua rasmi utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi Wilaya ya Kinondoni

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana leo amezindua rasmi utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi Wilaya ya Kinondoni, na kuwa mtu wa kwanza kupokea kitambulisho chake mbali na kuwakabidhi wananchi 22 Vitambulisho vyao kutoka Kata ya Saranga mtaa wa Matangini. Mkuu wa Wilala ya Kinondoni akiwasili leo katika Kata ya Saranga Mbezi tayari kuzindua zoezi la utoaji Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wa Kata ya Saranga, Mbezi Dar-es-salaam Mkuu wa Wilaya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa

>Kazi ya uchukuaji alama za vidole na picha kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa, imeanza mjini Tanga na dosari kadhaa zimeripotiwa, ikiwamo wananchi kusota muda mrefu kwenye vituo.

 

9 years ago

Vijimambo

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo. Sheikh  Othman Dishi akitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa swala hiyo. Waumini wa dini ya kiislam wakiwa katika swala.
 Wanawake na watoto wakiwa kwenye swala hiyo. Mazuria ya kuswalia yakitandikwa kabla ya kuanza ibada. Hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa bado ni kitendawili

Tuliwahi kusema katika safu hii kwamba mpango wa Serikali wa kuandikisha wananchi ili kuwapatia vitambulisho vya Taifa hautafanikiwa kama matatizo yaliyokuwa yakigubika mpango huo hayangepatiwa ufumbuzi wa kudumu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe

Mchakato wa kupatikana kwa vitambulisho vya Taifa unaoendelea jijini Dar es Salaam umeanza kuibua maswali kama kweli wananchi wote nchi nzima watakuwa wamepata vitambulisho hivyo kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na hata kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

 

10 years ago

GPL

NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...

 

10 years ago

Habarileo

Milioni 6 waandikishwa vitambulisho vya Taifa

WATU zaidi ya milioni 6.1 wameshaandikishwa kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa na kati yao milioni 2.5 wameshapatiwa vitambulisho tangu zoezi hilo lizinduliwe mwezi Februari 2013.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani