Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utokeje na vazi la jioni?

Kwa kawaida kila vazi lina taratibu zake katika uvaaji, pia upangiliaji licha ya ukweli kuwa watu wengi hupendelea kuvaa mavazi yanayowaweka huru zaidi na masuala ya sheria za mavazi yakija nyuma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Semina na Chakula cha Jioni — Valentine Day Februari 14, 2015 Kuanzia saa kumi na mbili jioni 6:00pm EST

***   ***   ***   www.iykcolumbus.org   ***   ***   ***Simu: 1-614-664-9564 au 1-614-66-IYK-OH  

 

9 years ago

BBCSwahili

Vazi la Papa, Afrika

Akiwa nchini Kenya kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis atakitembelea pia kitongoji cha Kangemi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vazi ya Niqab haramu Ufaransa

Mahakama ya haki za binadamu barani Ulaya imeamrisha kuendelea kutekelezwa hukumu ya kupiga marufuku Niqab nchini Ufaransa.

 

9 years ago

GPL

VAZI LA KHANGA MOJA HESHIMA YA NDOA

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia ukurasa huu nikiamini uko salama, tayari kwa kupiga kura keshokutwa kuchagua viongizi watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo. Mpenzi msomaji wangu, katika kuifanya ndoa iwe imara, niliwahi kuzungumzia mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. Lakini pia nikasema kwamba, kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, sioni shida mke kuvaa anavyotaka. Pia nikasema kuwa, hakuna kitu kibaya kama...

 

10 years ago

Michuzi

MZIGO MPYA WAWASILI DUKANI Vazi




Kwa nguo zaidi za kisasa tembelea www.vazitz.blogspot.com au Instagram @Vazitz

 

9 years ago

BBCSwahili

Vazi la Burqa kupigwa marufuku Senegal

Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa kwa lengo la kuzuia mienendo ya makundi ya kijihadi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ataka vazi la Kimasai Bunge la Katiba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Mirimba, ametaka vazi la Kimasai kuwa maalumu wakati wa vikao vya Bunge hilo. Ester ni mwakilishi wa kundi la wafugaji kutoka Chalinze, alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chad yapiga marufuku vazi la Burqa

Mamlaka ya Chad imepiga marufuku vazi la Burqa kufuatia visa vya walipuaji wa kujitolea muhanga siku ya jumatatu ambavyo vimewaua watu 23.

 

9 years ago

Mtanzania

Vazi litakalovaliwa na wengi ndilo la Taifa

Profesa Hermans MwansokoNA MWANDISHI WETU

SERIKALI imezitaka jamii ziwe huru kubuni na kuanza kutumia vazi watakalochagua na mavazi yatakayoshika kasi, kupendwa na kuvaliwa na wengi yataweza kutambuliwa kuwa ndiyo vazi la utambulisho wa Mtanzania.

Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni, Profesa Hermas Mwansoko, alisema utambulisho wa kutumia vazi la Taifa ni jambo jema, japo utekelezaji wake ni mgumu kwa Taifa kama Tanzania lenye jamii ya makabila zaidi ya 120, pia
kuna tofauti ya hali ya hewa na mazingira,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani