Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utoro BLW wakwamisha bajeti Z’bar

Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) limekwama kukaa kama kamati ya matumizi na vikao kwa mara ya tano tangu kuanza kujadili bajeti za mwaka wa fedha 2014/15 Mei 14 mwaka huu kutokana na tatizo la wajumbe kuwa watoro wa kuhudhuria vikao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Utoro wa walimu, wanafunzi wakwamisha BRN Kigoma

WAKATI Serikali ikiwa katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa huku sekta ya elimu ikiwa ni moja ya sekta sita zinazotekeleza mpango huo imeelezwa kuwa utoro wa walimu na wanafunzi umeufanya mkoa Kigoma kushindwa kufikia malengo ya utekelezaji wa mpango huo.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Utoro wa wabunge umeathiri Bajeti ya Serikali

Bunge kwa siku kadhaa limekuwa likijadili Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16. Jambo la kusikitisha ni kuwa, kinyume na mijadala ya bajeti kuu za Serikali iliyofanyika miaka ya nyuma, mjadala wa bajeti ya mwaka wa fedha ujao umekuwa na upungufu mkubwa kutokana na kuhusisha idadi ndogo sana ya wabunge.

 

11 years ago

Habarileo

Ufinyu wa bajeti wakwamisha ununuzi wa pembejeo

WIZARA ya Kilimo na Maliasili imesema ufinyu wa bajeti umesababisha kuwepo kwa upungufu mkubwa wa pembejeo, ikiwemo mbolea ambayo imepungua kutoka tani 1,500 hadi 620.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wakwamisha bajeti ya Jiji Mwanza

KIKAO cha Baraza la Madiwani jijini Mwanza jana kilikataa kupitisha bajeti ya mwaka 20014/15 kwa madai kuwa haijakidhi matakwa ya wananchi kwa kutoa kipaumbele zaidi kwa wafanyakazi.

 

11 years ago

Habarileo

Ufinyu wa bajeti wakwamisha barabara ya Kivukoni -Makutano

SERIKALI kwa sasa haina mpango wa kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya kutoka Kivukoni Kinesi -Makutano Kinesi hadi Kuruya katika barabara kuu ya Mwanza hadi Sirari kutokana na ufinyu wa bajeti ya serikali.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti Wizara ya Afya Z'bar kupitiwa tena

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi watapitia tena vifungu vya bajeti ya Wizara ya Afya ambayo ilikwama mwishoni mwa wiki, baada ya wajumbe wengi kutoridhishwa na mgawanyo wa fedha katika maeneo muhimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Shein akataa kuongeza posho BLW

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amekataa maombi ya kuwaongezea posho wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) kutoka Sh150,000 hadi Sh200,000.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani