UVCCM Singida walianzisha kwa Nyalandu
BARAZA a Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Singida Vijijini, limemshutumu mbunge wao, Lazaro Nyalandu kwa kusababisha chama hicho kukosa ushindi mnono kwenye baadhi ya maeneo katika jimbo la Singida Kaskazini wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV12 Jan
UVCCM Singida waendelea kumnyooshea kidole Nyalandu
Na Emmanuel Michael,
Singida.
SAKATA la mvutano baina Umoja wa Vijana UVCCM Wilaya ya Singida Vijijini na Mbunge wao Mhe Lazaro Nyalandu, limechukua sura mpya baada ya kikao chake cha baraza kuadhimia kuitishwa haraka kwa mkutano mkuu wa Jumuiya hiyo ili kutoa hitimisho la maamuzi dhidi yake.
Umoja wa Vijana unamtuhumu Mbunge huyo wa Singida Kaskazini kusababisha Chama Cha Mapinduzi kupoteza Vijiji vinane na Vitongoji 50 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa mwaka...
10 years ago
Habarileo12 Jan
UVCCM kumweka kitimoto Nyalandu
SAKATA baina ya Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Singida Vijijini limechukua sura mpya baada ya kikao cha Baraza la Jumuiya hiyo kuazimia kuitisha mkutano mkuu ili kumjadili.
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Samwel Nakei, aapishwa kuwa kamanda wa UVCCM wilaya mpya ya Mkalama, Mkoani Singida aahidi kuleta neema kwa Vijana
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhan Kapeto akimwapishwa Samwel Nakei kuwa kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mkalama jana.
Samweli Nakei akila kiapo cha kuwa Kamanda wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama.
Na Hillary Shoo, MKALAMA
VIJANA Wilayani Mkalama Mkoani Singida wametakiwa kujiunga kwenye vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ili waweze kukopesheka kirahisi badala ya mtu mmoja mmoja.
Changamoto hiyo imetolewa jana Wilayani hapa na Kamanda Mpya ya Umoja wa vijana wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama,...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mwenyekiti UVCCM Singida asimamishwa
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Singida limemsimamisha uongozi Mwenyekiti wao wa mkoa, Martin Labia Lissu kwa madai ya kushindwa kutoa utetezi dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili....
11 years ago
GPLMAKONDA ASIMIKA MAKAMANDA 16 WA UVCCM MKOA WA SINGIDA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-zjDBpF5ER_g/XoChF9jzTAI/AAAAAAABL8k/CiyxdraNKWgUxNCyhSf8XjEfDnmgQZplACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200328-WA0024.jpg)
MTATURU ACHANGIA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UVCCM MKOA WA SINGIDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-zjDBpF5ER_g/XoChF9jzTAI/AAAAAAABL8k/CiyxdraNKWgUxNCyhSf8XjEfDnmgQZplACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200328-WA0024.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-W6nZbLfsQOA/XoChGSPT05I/AAAAAAABL8o/aNcFltfTiCkK4MOEY1O6_a4YW3EDq5HpACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200328-WA0049.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-eBDXrWomhp0/XoChGiKr1sI/AAAAAAABL8s/vXd2bvd9xPQJXP0mr06Wv21KUIwQ-QhCwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200328-WA0051.jpg)
Na Sakina abdulmasoud MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amekabidhi mifuko 30 ya saruji ikiwa ni namna ya kuunga mkono ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Chilolo aula ukamanda UVCCM Singida mjini, ataka mshikamano vijana na MO
Diana Chilolo (katikati) akila kiapo kuwa kamanda wa UVCCM manispaa ya Singida kwenye viwanja ofisi ya CCM mkoa wa Singida mjini Singida. Kulia ni katibu mkuu UVCCM taifa, Sixtus Mapunda ambaye alimwapicha Chilolo na kushoto ni kamanda msaidizi wa UVCCM manispaa ya Singida, Hassan Dumwala.
Na Nathaniel Limu
VIJANA waishio Jimbo la Singida Mjini, wameshauriwa kufanya kazi karibu na Mbunge wao, Mohammed Dewji ili kuharakisha upatikanaji maendeleo ya jimbo hilo, pamoja na ya kwao binafsi.
Wito...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM
Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM) wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...
10 years ago
MichuziNYALANDU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI
Nyalandu, ambaye alikitetea nafasi hiyo aliwashinda wagombea wenzake saba waliojitokeza kupambana naye, ambapo aliongoza kwenye kata zote za jimbo hilo na kuwaacha mbali wapinzani wake.
Mwanasiasa huyo kijana na mwenye ushawishi mkubwa, aliongoza katika Kata za Ikhanoda, Msange, Itaja, Mwasauya, Mrama, Maghojoa,...