Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM Singida waendelea kumnyooshea kidole Nyalandu

Na Emmanuel Michael,

Singida.

 

SAKATA la mvutano baina Umoja wa Vijana UVCCM Wilaya ya Singida Vijijini na Mbunge wao Mhe Lazaro Nyalandu, limechukua sura mpya baada ya kikao chake cha baraza kuadhimia kuitishwa haraka kwa mkutano mkuu wa Jumuiya hiyo ili kutoa hitimisho la maamuzi dhidi yake.

 

Umoja wa Vijana unamtuhumu Mbunge huyo wa Singida Kaskazini kusababisha Chama Cha Mapinduzi kupoteza Vijiji vinane na Vitongoji 50 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa mwaka...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Unyanyasaji Mtandaoni + Kifo cha Betty Ndejembi, nani wa kumnyooshea kidole?

Imeandikwa na Malisa Godlisten Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa wengine. Lakini siku zote ninaamini katika busara hii: kuuchukia ukweli hakubadilishi ukweli kuwa uongo. Ukweli ni ukweli na uongo ni uongo. Ukweli hauwezi kuwa uongo, na kadhalika uongo hauwezi kuwa ukweli. Kamwe asilani. Wakati tunaomboleza kifo […]

 

10 years ago

Habarileo

UVCCM Singida walianzisha kwa Nyalandu

Lazaro Nyalandu.BARAZA a Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Singida Vijijini, limemshutumu mbunge wao, Lazaro Nyalandu kwa kusababisha chama hicho kukosa ushindi mnono kwenye baadhi ya maeneo katika jimbo la Singida Kaskazini wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni.

 

10 years ago

StarTV

Watumishi wa afya waendelea kunyooshewa kidole.

Na Sudi Shaaban,

Mwanza.

Sekta ya afya nchini imetajwa kuwa chanzo kikubwa cha kuisabishia serikali lawama kutoka kwa wananchi kutokana na utendaji mbovu wa watumishi ambao umekuwa ukilalamikiwa kila kukicha bila kuchukuliwa hatua yeyote.

 

Pia sekta hiyo imeendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa vifaa tiba pamoja na dawa jambo ambalo bado ni kilio kikubwa kwa serikali na wananchi.

 

Nia ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ni kuhakikisha mkoa unapiga hatua katika...

 

10 years ago

Habarileo

UVCCM kumweka kitimoto Nyalandu

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro NyalanduSAKATA baina ya Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Singida Vijijini limechukua sura mpya baada ya kikao cha Baraza la Jumuiya hiyo kuazimia kuitisha mkutano mkuu ili kumjadili.

 

5 years ago

CCM Blog

UVCCM IRINGA WAENDELEA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akizungumzia msaada wa ndoo maalum za kusaidia kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akionyesha ndoo maalum za msaada kwa ajili ya wananchi kujitakasa na kujikinga na virusi vya Corona
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti UVCCM Singida asimamishwa

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Singida limemsimamisha uongozi Mwenyekiti wao wa mkoa, Martin Labia Lissu kwa madai ya kushindwa kutoa utetezi dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili....

 

10 years ago

Dewji Blog

Maziku amaliza mgogoro wa Nyalandu na wenzake, waendelea na mchakato kuomba kura kwa wananchi

KATIBU

Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza mgogoro wa wagombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini.

maziku

Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Mary Maziku akiwa ofisini kwake.

MONKO

Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini, Jastine Monko akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la CCM Mkoa wa Singida baada ya kumaliza tofauti zao.

nyalandu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari nje ya viwanja vya CCM Mkoa wa...

 

11 years ago

GPL

MAKONDA ASIMIKA MAKAMANDA 16 WA UVCCM MKOA WA SINGIDA

Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Jumuiya ya (UVCCM) ambae pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ndugu Paul Makonda. -ATAO WITO KILA MKOA UJITAMBULISHE KWA ZAO LAKE
-AWANANGA CHADEMA KUWA WAASISI WA SIASA ZA UKANJANJA
-AMPONGEZA TUNDU LISU KWA KUWA KIONGOZI MJANJA
-AKABIDHI KADI 50 KWA VIJANA WALIOJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA KUVUNA   WANACHAMA WENGINE KUTOKA CHADEMA Katibu wa Idara ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujenzi wa maabara waendelea kupamba moto mkoani Singida

DSC02467

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida, Supeet Mseya (kulia), akikagua ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika kata ya Iseke.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC02469

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani