UVCCM: Wapuuzeni wanaotaka kuwayumbisha
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) umewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaotaka kuwaondoa katika Mchakato wa Katiba na kuwapeleka kwenye masilahi binafsi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Jul
JK: Wapuuzeni wanunua uongozi
RAIS Jakaya Kikwete, amesihi viongozi wa dini nchini kuwakataa kwa macho makavu wanasiasa wanaotumia kila njia kutafuta uongozi ikiwa ni pamoja na kutumia pesa, akisema hao ni maadui na kwamba wakisikilizwa na kuendekezwa, mchezo wao mchafu unaweza kugeuka mauti kwa Watanzania.
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Nape: Wapuuzeni wapinzani
10 years ago
Michuzi21 Aug
BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO
![???????????????????????????????](http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/ccm-4-robinson1.jpg?w=300&h=225)
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.
![???????????????????????????????](http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/ccm-6.jpg?w=300&h=225)
Katibu wa UVCCM wilaya ya...
11 years ago
BBCSwahili11 Apr
Ukraine yawatuliza wanaotaka kujitenga
10 years ago
Dewji Blog30 Oct
Mugabe awakosoa wanaotaka kumrithi
Na Mwandishi wetu
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe (pichani) amewakosoa wanaoanzisha mchakato wa kuwania nafasi ya kumrithi kwenye uenyekiti wa chama tawala cha ZANU PFnchini humo.
Akiwahutubia wananchi hii leo kwa njia ya televisheni Rais Mugabe amesema kuwa wako watu ndani ya chama tawala cha ZANU PF ambao wanawania nafasi za juu na hata wako tayari kuwaondoa viongozi wa ngazi za juu ili waweze kufikia malengo yao.
Rais Mugabe amesema amepambana na hata kufungwa jela kwa miaka kadhaa kwa...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Nape- Wanaotaka Serikali tatu waroho
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimebainisha kuwa wale wote wanaotaka Tanzania iingie katika mfumo wa Serikali tatu, ni waroho wa madaraka na wanajitengenezea njia ya kuwa viongozi hapo baadaye.
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Wanaotaka rais dikteta washindwe na walegee
10 years ago
Habarileo23 Feb
JKT yawasuta wahitimu wanaotaka kuandamana
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana waliomaliza katika jeshi hilo, kutambua kuwa walikula kiapo cha utii wakati wa kuhitimu mafunzo, hivyo suala la kuandamana ni kinyume na kiapo chao.
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Michezo, sanaa si ajenda za wanaotaka urais