Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Wapuuzeni wanunua uongozi

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Dk Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya dayosisi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete, amesihi viongozi wa dini nchini kuwakataa kwa macho makavu wanasiasa wanaotumia kila njia kutafuta uongozi ikiwa ni pamoja na kutumia pesa, akisema hao ni maadui na kwamba wakisikilizwa na kuendekezwa, mchezo wao mchafu unaweza kugeuka mauti kwa Watanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWAKA WA UCHAGUZI UNAINGIA, WANUNUA UONGOZI WAKAMATWE!

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hakuhitajiki kusaka mnajimu au nabii ili kugundua kwamba mwaka 2015 unaoanza Alhamisi ijayo utakuwa na mivutano na misuguano mingi ya kisiasa hapa nchini. Hili ni jambo linaloeleweka hata kwa mtu ambaye ni mbumbumbu katika masuala ya kisiasa. Mwaka ujao zitafanyika chaguzi za ngazi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge hadi urais kabla ya uchaguzi mkuu. Chaguzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: Wapuuzeni wapinzani

>Wananchi wametakiwa kupuuza kauli alizodai kuwa za wapinzani za kuwataka wasishiriki kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Desemba, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

UVCCM: Wapuuzeni wanaotaka kuwayumbisha

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) umewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaotaka kuwaondoa katika Mchakato wa Katiba na kuwapeleka kwenye masilahi binafsi.

 

11 years ago

GPL

Matajiri wanunua mabao ya Yanga

Lucy Mgina na Martha Mboma
WANACHAMA wa Yanga Family wameahidi kununua kila bao litakalofungwa kwenye mechi ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly itakayopigwa Jumamosi ya wiki hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga ilifanikiwa kuingia raundi ya kwanza ya michuano hiyo baada ya kuitoa Komorozine ya Comoro kwa jumla ya mabao 12-2. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyo kilisema kuwa kundi la...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wanunua mashine za kupakilia miwa


Na Igamba Libonge, Kilombero
CHAMA cha Wakulima wa Miwa cha Msolwa Ujamaa (MUCGA), wilayani Kilombero kimenunua mashine mbili za kupakilia miwa zenye thamani ya sh. milioni 264.8.
Chama hicho pia  kwa mwaka huu kinatarajia kununua magari sita yenye thamani ya sh. milioni 400 kwa ajili ya kusombea miwa ya wanachama na kujenga ofisi mpya itakayowagharimu sh. milioni 250.
Hayo yamesemwa juzi na Mwenyekiti wa MUCGA, Sebastian Sangilindege, alipokuwa akisoma taarifa ya chama katika mkutano mkuu....

 

9 years ago

Mtanzania

P-Square wanunua nyumba Atlanta

p squareATLANTA, MAREKANI

NYOTA wa muziki kutoka nchini Nigeria ambao wanaunda kundi la P-Square, Paul na Peter Okoye, wameonesha jeuri ya fedha baada ya kununua nyumba Atlanta, nchini Marekani.

Wasanii hao ambao wanatishia kwa utajiri barani Afrika, hiyo itakuwa ni nyumba yao ya tatu kuimiliki nchini Marekani.

Kupitia akaunti ya Instagram ya Paul, aliweka picha mbalimbali za nyumba hiyo na kuandika maneno ambayo yalisema: “Pongezi kwetu kwa kufanikisha zoezi la ununuzi wa nyumba nyingine, hii...

 

10 years ago

Mwananchi

Wazawa wanunua nusu ya hisa Tanzanite One

Kampuni ya wazawa ya uchimbaji wa madini ya Sky Associates Group (LTD) imenunua asilimia 50 ya hisa zilizokuwa zinamilikiwa na Kampuni ya Richland Resources ya Uingereza ndani ya Tanzanite One katika migodi ya Kitalu C cha machimbo ya Tanzanite, Mererani, Wilaya ya Simanjiro.

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wanunua simu kuwasiliana na wapenzi

IMEBAINIKA kuwa baadhi ya watoto wanaofanya shughuli za kiuchumi ndogondogo Kibaha mkoani, Pwani hudunduliza fedha kununua simu ili waweze kuwasiliana na wapenzi wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasanii wanunua stika kwa pauni ya England

>Tasnia ya sanaa imeendelea kuandamwa na changamoto nyingi ikiwamo wasanii kununua stika za kazi zao kwa pauni ya Uingereza badala ya shilingi ya Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani