Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKA WA UCHAGUZI UNAINGIA, WANUNUA UONGOZI WAKAMATWE!

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hakuhitajiki kusaka mnajimu au nabii ili kugundua kwamba mwaka 2015 unaoanza Alhamisi ijayo utakuwa na mivutano na misuguano mingi ya kisiasa hapa nchini. Hili ni jambo linaloeleweka hata kwa mtu ambaye ni mbumbumbu katika masuala ya kisiasa. Mwaka ujao zitafanyika chaguzi za ngazi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge hadi urais kabla ya uchaguzi mkuu. Chaguzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NAPE: CCM haitaruhusu wanunua urais kupenya uchaguzi mkuu wa mwaka huu

A

MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM katika jamii, kwnye semina ya wachungaji wa kanisa hilo wa ndani na nje ya Tanzania, inayoendelea Kibahaka mkoa wa Pwani. Watatu kulia ni Mama Eliakunda Mwingira.

AA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitoa mada kwenye semina hiyo.

> . Asema wanapoteza muda na pesa zao

>. Awataka...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Wapuuzeni wanunua uongozi

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Dk Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya dayosisi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete, amesihi viongozi wa dini nchini kuwakataa kwa macho makavu wanasiasa wanaotumia kila njia kutafuta uongozi ikiwa ni pamoja na kutumia pesa, akisema hao ni maadui na kwamba wakisikilizwa na kuendekezwa, mchezo wao mchafu unaweza kugeuka mauti kwa Watanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka wa uchaguzi,Kikwete atoa salamu za mwisho za mwaka

>Mwaka wa uchaguzi umeingia. Usiku wa kuamkia leo, Watanzania wameupokea mwaka mpya 2015 huku tafakari kubwa ikiwa ni matukio makubwa yatakayotokea mwaka huu, ukiwamo Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa.

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI         KAMATI ya uchaguzi DRFA inaelekeza kamati ya uchaguzi ya TEFA kufanya uchaguzi wa viongozi,jumapili tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa JKT kama ilivyopangwa kufanyika hapo awali.Kamati pia inapenda  kuutarifu umma kuwa mchakato huu una Baraka zote kutoka TFF,hivyo uingiliaji wowote unakwenda kinyume na ibara ya 6(1)ya kanuni za uchaguzi za TFF 2013 na ibara za 52(6) na 56(6)(a) za katiba ya TFF ambazo zinaelekeza kuwa majukumu ya uchaguzi yapo chini ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania unawatakia sikukuu njema wanajumuiya wote wa New York Tanzanian Community(NYTC).Tunakutakieni furaha katika sikukuu hizi,mapenzi pamoja na Afya njema,ni matumaini yetu kuwa mwaka tunaouaga ulikuwa ni mwaka wa kheri,mafanikio na baraka nyingi na kwa pamoja tunamuomba Mola aujaalie mwaka ujao 2015 uwe wenye mafanikio,Afya njema na adumishe umoja wetu ili tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumeweza kufanya hivyo...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA TAASISI YA UONGOZI YA AFRIKA MASHARIKI KWA MWAKA 2014

Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya Uongozi ya Afrika Mashariki, Prof. Rwekaza Mukandala akimkaribisha Waziri Membe kufungua rasmi mafunzo hayo. Wengine katika picha ni Dkt. Benson Bana (wa kwanza kulia), Mhadhiri na Mratibu wa Mafunzo hayo kwa mwaka 2014 na Prof. Betram Mapunda (wa kwanza kushoto). Waziri Membe akitoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo. Sehemu  ya Wanafunzi wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) alipowahutubia. Sehemu nyingine ya Wanafunzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mh. Lukuvi aagiza uongozi wa mkoa wa Manyara kumaliza migogoro ya ardhi kabla ya mwezi Mei mwaka huu

1aMkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati, kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Crispin Meela.Mhe.Bendera amesisitiza nidhamu ya kazi katika kuhudumia wananchi na ameapa kuwaondoa watendaji wabovu mkoani humo.

2aWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.William Lukuvi akizungumza katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani