UVCCM washauriwa kushawishi wenzao kukipa ushindi CCM
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Haji Machano Juma akisisitiza jambo katika Semina elekezi kwa Vijana kuelekea Uchaguzi Mkuu iliyofanyika Uroa Kusini Unguja. Kulia kwake ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Khamis Ali, Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya hiyo Mbarouk Mrakib, na Mlezi wa kundi maalum na Mbunge wa Vijana Tauhida Galos. (Picha na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar).
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Mbarouk Mrakib akitoa mada yake katika Semina elekezi kwa Vijana kuelekea...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Wanavikoba wahamasishwa kushawishi wenzao wajiunge
RAIS wa Vikoba Endelevu Tanzania, Devota Likokola, amewataka wanachama wa vikundi vya vikoba kuwahamasisha wananchi kujiunga ili kuondokana na utegemezi kwenye familia zao. Likokola alitoa wito huo hivi karibuni, wakati...
10 years ago
Habarileo07 Aug
UVCCM Zanzibar watabiri ushindi
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) upande wa Zanzibar, umesema unaunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Kikwete kwamba CCM imejiandaa kushinda na kushika dola kwa sababu inao uzoefu wa kuongoza nchi.
5 years ago
Michuzi
Makonda, UVCCM watamba ushindi wa JPM
Makonda alitoa kauli hiyo wakati wa kikao na Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), Mkoa wa Dar es salaam ambapo amesema yapo maendeleo makubwa yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano na kama wasipoyazungumzia watatoa mwanya kwa watu wasiolitakia mema taifa kupenyeza uongo.
“Yapo mambo...
10 years ago
Vijimambo03 Feb
Lugola kushawishi wananchi wasiichague CCM 2015

Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema atawashawishi wananchi wasikichague Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba mwaka huu ikiwa serikali haitatekeleza miradi ya kupekeleka maji katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara na hasa jimboni kwake.
Lugola aliyasema hayo jana, wakati akichangia mjadala kuhusu taarifa ya utekelezaji ya Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na ile ya Kilimo, Mifugo na Maji baada ya...
10 years ago
MichuziUVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO
10 years ago
CCM Blog
10 years ago
Michuzi
JK AHUTUBIA BARAZA LA VIJANA WA CCM (UVCCM) JIJINI DAR.




