Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM Zanzibar watabiri ushindi

UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) upande wa Zanzibar, umesema unaunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Kikwete kwamba CCM imejiandaa kushinda na kushika dola kwa sababu inao uzoefu wa kuongoza nchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO

 Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini-Unguja ndugu Mbarouk Mrakib katikati akizungumza na Waandishi wa habari huko ofisini kwake Bububu kuhusu mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuomba kupatikana kwa Kamanda Mpya wa UVCC Taifa baada ya Mzee Kingunge kuvuliwa Ukamanda huo. Kulia kwake ni Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Canal Msaafu Masoud Ali Khamis na kushoto ni Mjumbe wa Kamati tendaji UVCCM Wilaya Khadija Ramadhan Abdu. Picha na Faki Mjaka- Maelezo Zanzibar. Mwenyekiti wa UVCCM...

 

5 years ago

Michuzi

Makonda, UVCCM watamba ushindi wa JPM

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kukilinda chama hicho na kuyaeleza maendeleo yaliyofanywa na Rais Dk. John Maguguli katika kipindi cha miaka mitano.

Makonda alitoa kauli hiyo wakati wa kikao na Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), Mkoa wa Dar es salaam ambapo amesema yapo maendeleo makubwa yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano na kama wasipoyazungumzia watatoa mwanya kwa watu wasiolitakia mema taifa kupenyeza uongo.

“Yapo mambo...

 

9 years ago

Dewji Blog

UVCCM washauriwa kushawishi wenzao kukipa ushindi CCM

DSC_0122

Katibu wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Haji Machano Juma akisisitiza jambo katika Semina elekezi  kwa Vijana kuelekea Uchaguzi Mkuu iliyofanyika Uroa Kusini Unguja. Kulia kwake ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Khamis Ali, Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya hiyo Mbarouk Mrakib, na Mlezi wa kundi maalum na Mbunge wa Vijana Tauhida Galos. (Picha na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar).

DSC_0126

Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini Mbarouk Mrakib akitoa mada yake katika Semina elekezi  kwa Vijana kuelekea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM Zanzibar wamkaanga Warioba

NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka, alisema maoni ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Warioba hayakubaliki na kwamba yamekosa mashiko, uzalendo na nguvu ya kujenga...

 

11 years ago

Habarileo

UVCCM waapa kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu ShakaJUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema itaendelea kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 huku wakiwaasa wapinga mapinduzi kuwa wananchi wa Zanzibar, hawatakubaliani na hoja yao hiyo.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar jana Januari 5, 2014 .
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua Brass Band ya Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AYAPOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM,ZANZIBAR

Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakiwa wamebeba Bendera na Picha za Viongozi wakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yajihakikishia ushindi Zanzibar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina uhakika wa kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa sababu ya kufanikiwa kutekeleza na kusimamia Ilani ya Uchaguzi katika bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani