UVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST)
![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor98796JSQ6VhGiTEQlBC189ccTQIW1Sx4v4kETu1x-Fw9tZm*dWlnChVYMwfWPbEWKIT4B5nYGTEw2PRyDBG8DtR/ovariancystmiraclereview.jpg?width=650)
Hii ni hali ya mkusanyiko wa maji kuzunguka kifuko cha mayai. Ni ngozi laini na nyepesi juu ya kifuko cha mayai. Kifuko cha mayai huwa kinachipua vifuko vidogovidogo ‘Follicles’ na endapo follicles hizi zitakuwa na ukubwa zaidi ya sentimeta mbili, basi ndiyo huitwa Ovarian Cyst. Uvimbe unaweza kuwa na ukubwa kuanzia saizi ya punje ya njegere hadi saizi ya ukubwa wa chungwa. Aina nyingi ya uvimbe huu huwa hauumi na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSINJJzpMd1Bq8Msseay6jVGBQlnSuozRR1B5l8xzmbgWdPpYpIpbPiWNOlipPRqQZojB61m9suve07C5dPaNsYN/NaturalTreatmentsforOvarianCysts1.jpg?width=650)
UVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST) - 2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx218giTEl022YGpffq31A2Z5XFwD*Rf-FLxMLcktn*tIaEZVJmKJOrtU9UjLuiJUF3fY-TzDI-oea8jX6hWRJMu8/NaturalTreatmentsforOvarianCysts1.jpg?width=650)
UVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST) - 4
10 years ago
GPLUVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST) - 3
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Uvimbe kwenye mfuko wa mayai wa mwanamke (ovarian cyst)
KARIBU katika kona hii ya afya ili uweze kujua mengi kuhusiana na afya yako. Leo tutaangalia tatizo la uvimbe kwenye mfuko wa mayai kwa mwanamke, kwa kingereza inaitwa (ovarian cyst)...
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Uvimbe kwenye mfuko wa mayai kwa mwanamke (ovarian cyst)-2
WIKI iliyopita tuliangalia maana ya uvimbe kwenye mfuko wa mayai, mayai ya mwanamke ni nini na baadhi ya aina ya uvimbe kwenye mfuko wa mayai. Tuliona kuna uvimbe kwenye mfuko...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4jbxQJjqoB9wJF*uhldoIjNv1cdQ1ZAVk0ucsNW5VObmBjKg-55nZENu4DkRI*fOyO42lKqCAU51lKdbofnpabB/maxresdefault.jpg?width=650)
UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-2
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Su1Jk5yreao/Vh6AXqcdUrI/AAAAAAAAICc/R9bgY8iAKyk/s72-c/Dr%2BUmanath%2BNayak.jpg)
MABADILIKO KATIKA UPASUAJI WA UVIMBE WA SARATANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Su1Jk5yreao/Vh6AXqcdUrI/AAAAAAAAICc/R9bgY8iAKyk/s1600/Dr%2BUmanath%2BNayak.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6BbPy*Cql0OViDOPKIuV-bHH-eL6T69XhcK6hdhIflk*hydHm-lSkTPXEvuBFnzJyMx4cPtk8nNwHgKtEeb9SRN/maxresdefault.jpg?width=650)
UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-3
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Afya zetu; Mabadiliko katika upasuaji wa uvimbe wa saratani
![](http://2.bp.blogspot.com/-Su1Jk5yreao/Vh6AXqcdUrI/AAAAAAAAICc/R9bgY8iAKyk/s1600/Dr%2BUmanath%2BNayak.jpg)
Dk. Umanath Nayak, mshauri mkuu wa magonjwa ya saratani ya kichwa na shingo pamoja na upasuaji kwa njia ya roboti katika hospitali ya saratani ya Apollo Hyderabad nchini India.
Na Mwandishi Wetu,
Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni...