Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST) - 3

MATATIZO KATIKA KORODANI ZA MWANAUME (TESTICULAR FAILURE)
Kazi ya korodani ni kuzalisha mbegu za kiume na homoni za kiume (Testosterone). Kwa hiyo korodani kushindwa kufanya kazi maana yake ni kushindwa kuzalisha mbegu na homoni za kiume.
Chanzo cha tatizo Tatizo hili huwapata baadhi ya wanaume na chanzo chake ni kama vile matumizi ya baadhi ya dawa kwa muda mrefu mfano dawa kama Ketoconazole, Glucocorticoids na dawa za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST) - 2

Mtoto mdogo wa kike mwenye uvimbe pamoja na kulalamika maumivu, pia hupata tatizo la kutokwa na mkojo mara kwa mara na kukojoa kitandani, hata kufunga kupata haja kubwa. Uvimbe huu husababisha mwanamke avurugikiwe na mzunguko wa hedhi, apate maumivu kabla ya hedhi au maumivu makali wakati wa hedhi na damu kutoka kwa muda mrefu na kidogokidogo. Huhisi tumbo limejaa, zito au hata tumbo kuvimba upande mmoja au lote. Inaweza kutokea...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST) - 4

Tunamalizia sehemu ya mwisho ya makala yetu inayohusu maumivu yanayotokana na uvimbe.
Vipimo vingine ni vya mifupa ambapo X-ray huonesha mifupa inakuwa myepesi na huvunjika yenyewe hasa kwa watoto na vijana. Homoni zake huwa hazipo katika mpangilio mzuri ambapo hupishana mfano Testosterone huwa chini lakini FSH na LG na Prolactin huwa juu. Kwa watu wazima kiwango cha homoni ya Testosterone hupungua taratibu kadiri umri...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST)

Hii ni hali ya mkusanyiko wa maji kuzunguka kifuko cha mayai. Ni ngozi laini na nyepesi juu ya kifuko cha mayai. Kifuko cha mayai huwa kinachipua vifuko vidogovidogo ‘Follicles’ na endapo follicles hizi zitakuwa na ukubwa zaidi ya sentimeta mbili, basi ndiyo huitwa Ovarian Cyst.
Uvimbe unaweza kuwa na ukubwa kuanzia saizi ya punje ya njegere hadi saizi ya ukubwa wa chungwa. Aina nyingi ya uvimbe huu huwa hauumi na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uvimbe kwenye mfuko wa mayai wa mwanamke (ovarian cyst)

KARIBU katika kona hii ya afya ili uweze kujua mengi kuhusiana na afya yako. Leo tutaangalia tatizo la uvimbe kwenye mfuko wa mayai kwa mwanamke, kwa kingereza inaitwa (ovarian cyst)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uvimbe kwenye mfuko wa mayai kwa mwanamke (ovarian cyst)-2

WIKI iliyopita tuliangalia maana ya uvimbe kwenye mfuko wa mayai, mayai ya mwanamke ni nini na baadhi ya aina ya uvimbe kwenye mfuko wa mayai. Tuliona kuna uvimbe kwenye mfuko...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-2

Aina za uvimbe wa Fibroid
Fibroid zinatofautishwa kutokana na sehemu ilipotokea. Zipo zinazotokea ndani ya mji wa mimba na nyingine zinatokea kwenye kuta za nje ya mji wa mimba. Msomaji tambua kuwa karibu asilimia 75 ya wanawake wenye Fibroid hawajui kama wana tatizo hilo. Si rahisi mtu kuona dalili na kutambua mara moja kuwa ana tatizo la Fibroids. Utambuzi wa dalili za Fibroid hutegemea ukubwa wake na mahali zilipo kwenye...

 

9 years ago

Vijimambo

MABADILIKO KATIKA UPASUAJI WA UVIMBE WA SARATANI

Dk. Umanath Nayak, mshauri mkuu wa  magonjwa ya saratani ya kichwa na shingo pamoja na upasuaji kwa njia ya roboti katika hospitali ya saratani ya Apollo Hyderabad nchini India

Na Mwandishi Wetu, Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni...

 

10 years ago

GPL

UVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-3

Kama tulivyokuwa tukipeana elimu ya afya zetu wiki zilizopita, huu  pia ni mwendelezo wa mada ya vimbe katika kizazi cha mwanamke ambapo leo nitaelezea athari zake.  Mara nyingi mwanamke anagundulika na tatizo la Fibroid kama ataenda hospitali kwa lengo la kutafuta ujauzito, niwakumbushe wasomaji kuwa kama unaona una  maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa muda mrefu, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kuvurugika kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Afya zetu; Mabadiliko katika upasuaji wa uvimbe wa saratani

Dk. Umanath Nayak, mshauri mkuu wa  magonjwa ya saratani ya kichwa na shingo pamoja na upasuaji kwa njia ya roboti katika hospitali ya saratani ya Apollo Hyderabad nchini India.

Na Mwandishi Wetu,

Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani