Uwanja Wa Kaunda Kukumbwa na bomoa bomoa.
Klabu ya Soka ya Yanga imekumbwa na kadhia ya bomoabomoa baada ya kutakiwa kufanya hivyo katika uwanja wao wa Kaunda kwa kuwa unadaiwa kuwepo kwenye mkondo wa maji yaani bondeni.
Ubomoaji wa Uwanja huo wa Kaunda hautalihusu jengo kuu la Ofisi za Yanga.
Baraza la Taifa la kuhifadhi Mazingira (Nemc) limepitisha alama ya X katika uwanja wa Kaunda ambapo Yanga inatakiwa kuubomoa kabla ya Januari 04 mwakani na endapo itashindwa kufanya hivyo kwa hiari basi mamlaka husika itabomoa Uwanja huo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAVAMIZI NA WAMILIKI WA ARDHI KINYUME CHA SHERIA JIJINI DAR KUKIONA, KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA
9 years ago
StarTV04 Jan
Mbunge Mtulya awasilisha pingamizi mahamani kuzuia Bomoa Bomoa Dar
Zoezi la bomoa bomoa lililokuwa linafanyika katika maeneo ya mabondeni katika jiji la Dar es salaam, limechukua sura mpya baada ya Mbunge wa jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia kuliwekea pingamizi mahakamani.
Shauri hilo linatarajiwa kusikilizwa kwa mara ya kwanza mahakamani tarehe 4 januari mwaka huu likiwa na uwakilishi wa wananchi nane kutoka katika maeneo yaliyoathirika na zoezi hilo.
Hapo awali zoezi hilo la Bomoa bomoa lilianzia katika bonde la msimbazi eneo la mkwajuni Jijini Dar es...
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YA MANISPAA YAENDELEA MBEZI BICHI (BLOCK K) JIJINI DAR
Wazee wa kazi wakiwa katia geti la nyumba inayotakiwa kubomolewa maeneo ya mtaa wa Libermann Mbezi Bichi jijini Dar es Salaam leo. Wakazi wa nyumba nyeupe inayobomolewa wakitoka nje ya nyumba baada ya kuanza kubomolewa na manispaa ya Kinondoni.Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YATIKISA MANISPAA YA KINONDONI JIJINI DAR LEO
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YA MAENEO YA WAZI YAENDELEA LEO MTAA WA BASIHAYA BUNJU JIJINI DAR
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Waziri Lukuvi asitisha zoezi la bomoa bomoa Dar
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, Mhe. William Lukuvi.
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.
Aidha, wale wote waliojenga kwenye maeneo ya wazi, wavamizi wa maeneo ya watu, maeneo ya shughuli za kijamii kwenye fukwe, kingo za mito na...
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YAENDELEA JANGWANI LEO JIJINI DAR
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.