Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


uwepo mfumo wa kutuwajibisha sote watoaji na wapokeaji wa misaada -TANZANIA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Dorothy Mwanyika, akielezea uzoefu wa Tanzania katika eneo la Misaada Rasmi ya Maendeleo (ODA). Naibu Katibu Mkuu alikuwa mmoja wa wanajopo waliojadili mada kuhusu umuhimu wa ODA katika utekelezaji wa Malengo Maendeleo Endelevu baada ya 2015. Sehemu ya washiriki wa mkutano ambao ni sehemu na maandalizi ya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu uwezeshwaji wa raslimali fedha kwa maendeleo endelevu baada ya 2015 mkutano unaotarajiwa kufanyika mapema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nepal:Watoaji misaada watakiwa kuondoka

Nepal imewataka watoa huduma za misaada ya kigeni kwenye mji mkuu Kathmandu na maeneo yanayozunguka mji huo kurudi makwao

 

10 years ago

Michuzi

Ban Ki Moon asikitishwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani na watoaji wa misaada ya kibinadamu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon pamoja na washiriki wa hafla ya kuwakumbuka walinzi wa amani wakisimama kwa dakika moja kuwaenzi walinzi wa amani na watoa misaada ya kibinadamu ambao ni wafanyakazi wa umoja wa mataifa waliopoteza maisha wakati wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini Haiti mwaka 2010 na wale ambao wamepoteza maisha kati ya Octoba 2013 na Novemba 2014.
Ban Ki Moon akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo iliibua hisia na majonzi makubwa miongoni wa...

 

9 years ago

Habarileo

Ashauri uwepo mfumo wa pamoja wa ukusanyaji sadaka

TAASISI za Kiislamu nchini zimeshauriwa kushawishi kuwepo kwa mfumo wa pamoja wa ukusanyaji wa zaka na sadaka zilete tija katika kundi kubwa la jamii ya Kiislamu.

 

11 years ago

Michuzi

SOTE TUWAJIBIKE LINAPOKUJA SUALA LA UTAWALA BORA-TANZANIA

 Na Mwandishi Maalum, New YorkWakati mchakato wa maandalizi ya ajenda na malengo mapya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ukiendelea kushika kasi kwa mijadala mbalimbali inayoendelea hapa Umoja wa Mataifa. Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa upande wake imesisitiza kuwa pamoja na kukubaliana kwamba suala la utawala bora ni muhimu katika utekelezaji wa maendeleo na kupiga vita umaskini, hata hivyo eneo hilo halipashwi kuwa la upande mmoja.  “Hoja ya utawala bora ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Uwepo wa wanawake zaidi, vijana na watu wenye ulemavu ni vema kwa Bunge na Tanzania, asema Hellen Clark wa UNDP

hi-res-HC

Kiongozi wa UNDP, na Waziri Mkuu wa zamani wa New Zealand, Helen Clark(pichani), amewapongeza viongozi wa vyama vya siasa Tanzania kwa dhamira yao ya kuwasimamisha wanawake zaidi, vijana na watu wenye ulemavu kama wagombea kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwaka 2015. Alitoa pongezi hizo wakati wa mkutano wake na Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda, na wabunge wanawake katika mji mkuu wa kisiasa wa Dodoma leo.

Kiongozi huyo wa UNDP amekutana na wabunge wanawake wa Tanzania huko Dodoma, akiwemo...

 

11 years ago

Mwananchi

Uingereza kuendeleza misaada Tanzania

Uingereza imeahidi kuendelea kuisaidia Tanzania katika kupambana na umaskini, ufisadi na kuimarisha utawala bora.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoaji wa roho za watu ni wengi lakini, madereva wamezidi

Kufa kumeumbiwa kiumbe chochote kilicho hai. Kama kilizaliwa, basi siku moja kitakufa. Lini kitakufa, hakuna ajuaye, labda yule aliyepanga mauaji ya kiumbe hicho na wakati mwingine hata yeye muuaji anafikia hatua asifanikiwe katika azma yake hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoaji wa roho za watu ni wengi lakini madereva wamezidi

Kufa kumeumbiwa kiumbe chochote kilicho hai. Kama kilizaliwa basi siku moja kitakufa. Lini kitakufa hakuna ajuaye labda yule aliyepanga mauaji ya kiumbe hicho na wakati mwingine hata yeye muuaji anafikia hatua asifanikiwe katika azma yake hiyo.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.

Na Ramadhan Mvungi,

Arusha.

 

Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.

 

Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.

 

Katika mdahalo uliofanyika jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani